Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama hujarushwa kichura
 
*Dokta wa marekan ajitamba et kuwa alizaliwa mtoto hana miguu 2kamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali 3 za dhahabu". Dr wa China akasema cc kwe2 alizaliwa mtoto hana mikono 2kamwekea ya bandia sasa ni BONDIA maarufu sana dunian". Dr wa Tz akacheka kwa dharau akasema "hamja2fikia cc, kwe2 alizaliwa mtoto hana mdomo tukamuwekea mdomo wa ng'ombe sasa hivi ni mwimbaji wa kimataifa .....*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna huyu dada anasema walikua wanalia mana walikua hawalali kwa kupigwa shimo lakini sikuhisi anaweza lala hata week hajapigwa shimo na mumewe.
 
I need my boyfriend on my bed![emoji41]
 
Mtatuua kwa kichekio[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mamayee!
 
Kuna bibi huwa anauliza hivi hawa wavuta bange wanapata faida gani kuvuta bange??
Na tena wakivuta wengi wao wanacheka cheka tuu hovyoo.
Nikazisikia siku moja, mvua ikawa imenyesha hana majani ya kuwashia moto, alipokuja gheto nikampa majani awashie na vijikuni vya bange kavu,
Alifanikiwa ila leo nimemkuta ubungo anawacheka watu juu ya lile daraja la kuvukia daraja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjukuu wake ananitafuta sijui majani ya kuwashia moto yamemwishia[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Leo asubui nmetoka zangu dar kwenda kijijini kwetu huko bukoba,njian nkaingia jf kuchek uzi mpya nkakutana na hii KAMA UNA STRESS INGIA HAPA kufika Dodoma basi likaingia hotelini,nmeagiza msosi huku napunguza stress na huu uzi nmekuja zinduka nmebaki mwenyewe nauliza nambiwa basi lina lisaa tangu liondoke
[emoji15] [emoji15] [emoji15]..bado sina stress[emoji32] [emoji32] ila ata hela ya kulipa msosi nlisahau kwenye beg[emoji27] [emoji27]
 
Ha ha haaa!!
We Jamaa nimefurahia hata hiyo Kiswahili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…