Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Nakumbuka Enzi za utotoni unapewa tsh 1000 ukanunue mafuta ya kula unapitia mahali unanunua andazi la mia ili ukanunue mafuta ya 900 unafika wanapouza mafuta unakuta wamefunga hapo ndipo utatafuta mafuta mpaka pharmacy [emoji1][emoji1]
 
Money is evil
Jamaa mmoja karudi mapema kutoka Kazini mpole!
MKEWE: Vipi leo mbona mapema na mpole hivyo?
MUME: Ofisi yetu imeungua Moto na watu wote wamekufa.
MKEWE: Sasa ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: Nilikuwa chooni, nje kidogo na ofisi.
MKEWE: Loh maskini familia zao zitakuwaje?
MUME: Watalipwa milioni 200 kila mfiwa.
MKEWE: Akahamaki kwa hasira, "Ona sasa kunyakunya kwako ovyo umetukosesha mihela yote!!
Hebu rudi huko kabla moto haujazimika!....[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
[emoji38] [emoji38]
 
c306bc64759d4523f96cee9ba7ebeaa0.jpg
Mzee majuto ana mrija
 
*Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"*

*Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kweny basi kwanguvu kweli kila m2 ananixhangaa now [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kati ya Vitu vinavyomfurahisha mwanaume akiwa na demu mgeni chumbani ni pale demu atakaposema " Kafunge kwanza mlango vizuri "
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo mbio zake harmorapa anasubiri
hahahahahaaaaaaa
 
Kila siku baba na mama wananiuliza nitaowa lini mi nawajibu bado sijakuwa, sasa leo nilipotoka job kuingia tu nyumbani nikawakuta wapo na shangazi pamoja na mjomba wakaniuliza kwa pamoja swali lile lile, "UTAOA LINI?" nikaona bora niwaambie ukweli, nikawajibu "Wazee wangu , mi nitaoa siku ambayo NIKIOTA NDOTO KWA KIINGEREZA MWANZO MPAKA MWISHO"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimewaona wote wametoka nje, itakuwa wamekwenda kudizaini kadi.
 
Kweli nimeamini makabila mengine yana nuksi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti ni kweli Superstar wa Kingoni tangu 1998 hadi sasa ni BAMBO peke yake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapana mkuu, Abunuwasi si wa kusadikika?
Mimi siyo wa kusadikika yaani mimi siyo wa kwenye hadithi, ni mtu live!
Jamaa wanakufananisha na kituko, hatari kwelikweli, ila lisemwalo lipo au laja
 
Kuna mdada hapa nimemuuliza anasema kilichokuwa kinawaliza zamani ni midume ya enzi hizo kuwa na madushe marefu na manene hivyo mdada akifikiria kwenda kulitumikia dushe kubwa kama la punda lazima kwanza alie.!
Ila eti siku hizi madume wengi wana "vifuniko vya peni"
a.k.a. Vibamia hivyo bibi harusi wengi hawana hofu tena.!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jibu sasa Me hoi
 
Leo asubui nmetoka zangu dar kwenda kijijini kwetu huko bukoba,njian nkaingia jf kuchek uzi mpya nkakutana na hii KAMA UNA STRESS INGIA HAPA kufika Dodoma basi likaingia hotelini,nmeagiza msosi huku napunguza stress na huu uzi nmekuja zinduka nmebaki mwenyewe nauliza nambiwa basi lina lisaa tangu liondoke
[emoji15] [emoji15] [emoji15]..bado sina stress[emoji32] [emoji32] ila ata hela ya kulipa msosi nlisahau kwenye beg[emoji27] [emoji27]
I[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh
 
Back
Top Bottom