Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Nakumbuka Enzi za utotoni unapewa tsh 1000 ukanunue mafuta ya kula unapitia mahali unanunua andazi la mia ili ukanunue mafuta ya 900 unafika wanapouza mafuta unakuta wamefunga hapo ndipo utatafuta mafuta mpaka pharmacy [emoji1][emoji1]
 
[emoji38] [emoji38]
 
*Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"*

*Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kweny basi kwanguvu kweli kila m2 ananixhangaa now [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kati ya Vitu vinavyomfurahisha mwanaume akiwa na demu mgeni chumbani ni pale demu atakaposema " Kafunge kwanza mlango vizuri "
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo mbio zake harmorapa anasubiri
hahahahahaaaaaaa
 
Kila siku baba na mama wananiuliza nitaowa lini mi nawajibu bado sijakuwa, sasa leo nilipotoka job kuingia tu nyumbani nikawakuta wapo na shangazi pamoja na mjomba wakaniuliza kwa pamoja swali lile lile, "UTAOA LINI?" nikaona bora niwaambie ukweli, nikawajibu "Wazee wangu , mi nitaoa siku ambayo NIKIOTA NDOTO KWA KIINGEREZA MWANZO MPAKA MWISHO"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimewaona wote wametoka nje, itakuwa wamekwenda kudizaini kadi.
 
Kweli nimeamini makabila mengine yana nuksi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti ni kweli Superstar wa Kingoni tangu 1998 hadi sasa ni BAMBO peke yake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapana mkuu, Abunuwasi si wa kusadikika?
Mimi siyo wa kusadikika yaani mimi siyo wa kwenye hadithi, ni mtu live!
Jamaa wanakufananisha na kituko, hatari kwelikweli, ila lisemwalo lipo au laja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jibu sasa Me hoi
 
I[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…