Itakua watoto walikua wanaujua mchongo wa wazazi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuwa taa ikiwashwa kazi kaziJamaa analala yeye na mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu..
Mke Akakubali sawa mume wangu, mke ukamchukua usingizi akalala[emoji42] [emoji42]
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
bado mke kalala..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake..
"Dogo hebu mwamshe maza huyu mtu asije akatuunguza bure...."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*KAMA UKITEMBEA NA MWANAFUNZI UNAKWENDA JELA MIAKA 30.*
_NAJIULIZA IKIWA UTAKUTWA UNAKIMBIA NAE ITAKUWA MINGAPi_
[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji13] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Weka mchicha haraka, ukifuatiwa na nondo, ongeza brashi kisha utumbukize kwenye spoku!Wadau samahani msaada wa haraka tafadhali:
Ninapika pilau hapa. Sasa nimesahau kidogo. Hivi nikishaweka mahindi nini kinafuata?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, tutauan kwa vicheko jamaniiiMAMA;Mwanangu Njoo Nikufundishe
Hesabu..
MTOTO;Sawa Mama..
MAMA;Kwa Mfano Shangazi Yako Akakupa
Maandazi Mawili Halaf Akakupa Tena
Mawili,Jibu Lake Litakuwa Nini??.. MTOTO;Asante Shangazi[emoji1]
Viazi vitamu.Wadau samahani msaada wa haraka tafadhali:
Ninapika pilau hapa. Sasa nimesahau kidogo. Hivi nikishaweka mahindi nini kinafuata?
Hahahaha mbavu zangu [emoji28] [emoji29] [emoji26] [emoji25]MAMA;Mwanangu Njoo Nikufundishe
Hesabu..
MTOTO;Sawa Mama..
MAMA;Kwa Mfano Shangazi Yako Akakupa
Maandazi Mawili Halaf Akakupa Tena
Mawili,Jibu Lake Litakuwa Nini??.. MTOTO;Asante Shangazi[emoji1]
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, tutauan kwa vicheko jamaniii
Weka mchicha haraka, ukifuatiwa na nondo, ongeza brashi kisha utumbukize kwenye spoku!
Pakulia kwenye kuni, ukatie antena..!