Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

"Tanua! mi naogopa, tanua kidogo! mi naogopa, unaogopa nini? nitatoka damu, tanua basi nitakufanyia pole pole"
"basi sawa lakini usiniumize"
[emoji115] Ni sauti zilizosikika kutoka chumbani kwa daktari wa meno alipokuwa akiongea na mgonjwa aliekwenda kung'oa jino
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umewaza nini? post wewe basi, huishi kufikiria vibaya tu muda wote[emoji34] [emoji34]
 
Asubuhi ile kuamka tu jirani kanigongea mlango na kusema "jirani fungua nina shida"
Nikamjibu "Afadhali we jirani una shida, mi hata hiyo shida sina"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kanikata stimu na makelele yake[emoji34] [emoji34] [emoji377]
 
Hahahahahaaaaaaaaaa [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Thethethethethethethethethethwthethethethe
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
My riba,
Nitapitia MOI nikachunguzwe zimebaki ngapi, maana niko mwepesi kama Husain Bolt
 
.......Utafiti Unaonesha Yule Mwanaume Alieanzisha Msemo Wa "Ladies First"
Hana Lolote.
Alitaka Tu Mwanamke Atangulie Ili Amuangalie Makalio...[emoji23][emoji23][emoji23]

Mtafiti Nimeamka[emoji23]
Hahahahaha daah
 
Kuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
Wabongo ni wabongo tu, acha waitwe wabongo [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Girlfriend: Boo boo naomba simu yako nicheze 'candy crush'
Boyfriend: Chukua
Girlfriend: Hee na Lucy ndo nani?
Boyfriend: Hiyo ni level gani umefika? Mimi sijafika huko bado...

...
Hahahahahahaaaaaaa,
Ni Lucy Mayenga.

Naota kwa sauti tu.
 
*KAMA UKITEMBEA NA MWANAFUNZI UNAKWENDA JELA MIAKA 30.*
_NAJIULIZA IKIWA UTAKUTWA UNAKIMBIA NAE ITAKUWA MINGAPi_
Mi sikimbii naye, bora nikae nae ili hiyo miaka ipungue hata ubaki mmoja tu.

Napenda ukarimu sana mimi!! [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Wanasema ukimcheka mtu unakuwa kama yeye...
Hahahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]hahaahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Bakhresa[emoji23]hahaaa[emoji23][emoji23]hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale unambiwa mbona unakuwa kama bashite, unauliza ndo nini, wanakujibu wewe ni zero tu huna maana yeyote...hata mpaka sahivi sijapata jibu au mimi ni mtu maarufu sana duniani?
Utaitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge, unamtusi supika.
 
Wanasema ukimcheka mtu unakuwa kama yeye...
Hahahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]hahaahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Bakhresa[emoji23]hahaaa[emoji23][emoji23]hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahaha bashite hahhahahahahahahahaha bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…