Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Leo nimeenda ghetto kwa mshikaji, nikaona kachukua kitu kama jiko kaweka mchele ndani ya nusu saa ukawa umeiva.. Leo kaniacha, nimebandika makande tangu asubuhi mpaka saa tatu hii usiku hayajaiva..

Nahisi lina ubaguzi maana linajua mgeni na mwenyeji..
 
SAIVI NDO NAANZA KUONA UMUHIMU WA MKE WANGU, JANA BAADA YA KUPIKA SI NIKADEKIA MAJI NILIYOOSHEA DAGAA,, SASA CHUMBA KIZIMA KINANUKA KAMA SOKO LA SAMAKI, KUNA MAMA AMEKUJA AMENIULIZA SAMAKI WABICHI WAPO?, SIJAMJIBU AMEAMUA KUONDOKA!
...mke wangu hebu rudi huku yamenishinda!

[emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii mbavu zangu..
 
Mahusiano ya kimarekani:

Siku ya 1= mahusiano
Siku ya 2= unakumbatia
Siku ya 3= unakumbatia tena
Siku ya 4= busu
Siku ya 5= denda
Siku ya 6= mapenzi
*************************

Mahusiano ya kibongo:

Siku ya 1= unatongoza
Siku ya 2= unatongoza tena
Siku ya 3= unatongoza tena
Siku ya 4= anakubalii
Siku ya 5= mahusiano
Siku ya 6= unajarbu kukumbatia lakin inashndkana
Siku ya 7= unakumbatia
Siku ya 8= unajaribu kubusu lakn inashindkana
Siku ya 9= unabusu
Siku ya 10= denda
Siku ya 11= unajarb kufany mapenz lakn inashndkana
Siku ya 12= unajarbu kufany mapenz lakn inashndkana
Siku ya 13= unajarb kufany mapenz lakn inashndkana tena

Siku ya 14= UNABAKA.!!!!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji93][emoji93][emoji93][emoji93][emoji93]
 
15258944_1001058773332381_3337929684871544832_n.jpg
15306650_823107907831820_5759539603358875648_n.jpg
17127192_1347702391959594_8823574855782760448_n.jpg
17882755_446200799058148_8562621915712192512_n.jpg
 
Back
Top Bottom