Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahahahahahahahhaaaaaaaaaa.. ⚜ *WABUNGE GROUP* ⚜
TODAY
Ndungai added Tulia
Ndungai added Jenista
Tulia: Habari za muda waheshimiwa. [emoji7][emoji7]
Goodluck Milinga: Nakuona tu Tulia ulivyo tulia. [emoji68][emoji310]
Ester Bulaya: We milinga (mpunga [emoji264] wa Ulanga ) acha uboya hilo ndo jibu la salamu?
Goodluck Milinga: Rudi CCM kichwa panzi [emoji218]wewe, huko washakuharibu akili.
Kigwangala: Jamani mbona mnarushiana maneno hivyo? Kuweni watu wazima basi.
Halima Mdee: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Kigwa boy, vunga hakuna lugha mbovu hapo, kwanza vipi wale mashoga [emoji129] umewasahau majina yao si ulisema utawataja?
Bashe added Nape
Pole pole: Nani kamuadd huyu mamluki? [emoji379]
Tundu Lissu: Heeeee![emoji15] Huyu pole pole kafata nini humu? Kwan naye ni mbunge mbona mnatuletea watu hatuwaelewi elewi . Hivi admin sheria za grup na mlengo wake hauufahamu? Naomba sheria na kanuni zetu zizingatiwe.
Pole pole: Kausha we jamaa sio mahakamani hapa. [emoji57]
Makonda: Pole pole, dogo janja wangu safi sana mchane huyo jamaa anajifanya mjuaji. Akachunge ng'ombe na mamvi wao
Musukuma removed Pole Pole
Musukuma removed Makonda
Angela Kairuki: Eeheee wenye viherehere vyao, kwani umeombwa uwaremove?
Nchemba added Makonda
Nchema added Pole pole
Bashe removed Makonda
Ndungai: Waheshimiwa naombeni tusiwe na chuki [emoji174] kiasi hiko tupendane [emoji173] jamani sisi sote ni watanzania.
Halima Mdee: Nakuona tu kubwa la maadui umeanza kuwa na busara siku hizi. Halaf nan anawarudisha hawa maccm? [emoji196]
Nchemba left
Pole pole left
Bwege: Bora wameleft hawa ndo wanasababisha hata bunge la bajeti lisiwe na kiki mjini.
Tulia: Hili grup siliwezi mie naenda zangu hotel [emoji544] kupumzika
Tulia left
Mbowe: Kapumzike tu mama [emoji112][emoji112], hili grup huliwezi kama una roho nyepesi... By the way Halima nakuomba ofisi ya kambi rasmi ya upinzani sasa hivi.
Bashe added Joshua Nassari
Bashe added Mnyika
Bashe added Msigwa
Bashe: Majembe hayo
Ndungai left
Bwege: Spika katoka nduki za Harmorapa
Jenista: yoyoooo hadi mheshimiwa nae kakushoto
Serukamba: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]
Mwakyembe: Hivi wewe Bashe ni chama gani, Mbona hueleweki?
Bashe: CHAUMA
Mbowe: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sugu: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Prof Tibaijuka: Halooo inahuuuuu......
Ummi Mwalimu: [emoji15][emoji15][emoji15] bibi Tiba vepeee mbona haloooo za ki hadija kopa [emoji57][emoji57][emoji57]
Msigwa: Amen Bashe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ester Bulaya: Bashe siku hizi unawaweza hawa magamba [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Bashe: Halafu nyie ccm msinizoee sana [emoji57] mshanikoroga kwanza ntaenda hata kwenye chama cha mzee Rungwe Spunda [emoji318]
January Makamba: Nenda tu Bashe kwani unadhani huku ndo tunakuhitaji wewe, kwa lipi kubwa ulilonalo? Hizi siasa umezikuta so ziache kama zilivyo.... Si umemuona shangazi yako Sophia Simba
Msigwa: [emoji23][emoji23][emoji23] acha wamzingue tulichukue jembe hilo
Lema: Bashe achana nao hao wakaanga sumu, njoo huku kwenye harakati za kweli
Mwakyembe added Makonda
Nape: Mmmh nini hii tena? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Makonda added JPM
Mbowe: maaaweee Yesu na Maria [emoji24][emoji24][emoji24]
Mbowe left
Nassari left
Lema left
Tundu Lissu left
Halima mdee left
Ester Bulaya left
Msigwa left
Makonda: Duh!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Bashe: *Utashanga sana mwaka huu na bado* [emoji57][emoji57][emoji57]
Bashe left
Jenista left
Kigwangala left
Serukamba left
Bwege left
JPM: Mbona mnaleft waheshimiwa
Nape left
Makonda: Hawa ndo wanaozuia tusifikie uchumi wa viwanda.
JPM: Hivi ule mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi [emoji539][emoji548] kule kinondoni unaendeleaje?
Makonda: Mkandarasi [emoji62][emoji62]♀ ameshaanza kazi, tunasubiri mwezi ujao tukakague kujua maendeleo.
JPM: Safi sana, mie napenda watu wanaopiga kazi sio hao wapiga kelele wauza madawa na wataondoka wote mie ni dereva nisiesikia kelele za abiria
Musukuma left
You: *Nilisahau vyeti vyangu kwenye viunga vya bunge kuna alieviona?*
Mwakyembe left
JPM: Huyu ni nani anaeulizia vyeti humu?
Makonda removed you
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me: Removed stress