ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Hahaaaaa hiyo family haipendagi ugeni[emoji99] [emoji99]Watoto nao kwa kuropoka.... Mgeni kauliza "mbona paka wenu ananiangalia sana ninavyokula?" Mtoto akaropoka "labda kwasababu wamekupakulia kwenye SAHANI yake!". ungekuwa ww ndio mgeni ungefanyaje??????????
Vipi umeme haujaisha tu.Leo nimeenda ghetto kwa mshikaji, nikaona kachukua kitu kama jiko kaweka mchele ndani ya nusu saa ukawa umeiva.. Leo kaniacha, nimebandika makande tangu asubuhi mpaka saa tatu hii usiku hayajaiva..
Nahisi lina ubaguzi maana linajua mgeni na mwenyeji..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah mkuu umeniachs hoi sana asee.DULLY : - Ugali shilingi ngapi.!
MAMA LISHE: - Ugali mkubwa 1000/= Mdogo 700/= ugali wa jana 400/=
DULLY: - Nifungie mikubwa miwili ntakuja kuchukua kesho.
MAMA LISHE: - Nyoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu…!!*kama mwanamke ambaye hajawahi kufanya mapenz anaitwa #BIKRA*
*Basi mwanaume ambaye hajawahi kufanya mspenz
anaitwa #BWAKIRA*
Kweli hii toa stressKuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]