Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

. ⚜ *WABUNGE GROUP* ⚜

TODAY
Ndungai added Tulia

Ndungai added Jenista

Tulia: Habari za muda waheshimiwa. [emoji7][emoji7]

Goodluck Milinga: Nakuona tu Tulia ulivyo tulia. [emoji68]‍[emoji310]

Ester Bulaya: We milinga (mpunga [emoji264] wa Ulanga ) acha uboya hilo ndo jibu la salamu?

Goodluck Milinga: Rudi CCM kichwa panzi [emoji218]wewe, huko washakuharibu akili.

Kigwangala: Jamani mbona mnarushiana maneno hivyo? Kuweni watu wazima basi.

Halima Mdee: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Kigwa boy, vunga hakuna lugha mbovu hapo, kwanza vipi wale mashoga [emoji129] umewasahau majina yao si ulisema utawataja?

Bashe added Nape

Pole pole: Nani kamuadd huyu mamluki? [emoji379]

Tundu Lissu: Heeeee![emoji15] Huyu pole pole kafata nini humu? Kwan naye ni mbunge mbona mnatuletea watu hatuwaelewi elewi . Hivi admin sheria za grup na mlengo wake hauufahamu? Naomba sheria na kanuni zetu zizingatiwe.

Pole pole: Kausha we jamaa sio mahakamani hapa. [emoji57]

Makonda: Pole pole, dogo janja wangu safi sana mchane huyo jamaa anajifanya mjuaji. Akachunge ng'ombe na mamvi wao

Musukuma removed Pole Pole

Musukuma removed Makonda

Angela Kairuki: Eeheee wenye viherehere vyao, kwani umeombwa uwaremove?

Nchemba added Makonda

Nchema added Pole pole

Bashe removed Makonda

Ndungai: Waheshimiwa naombeni tusiwe na chuki [emoji174] kiasi hiko tupendane [emoji173] jamani sisi sote ni watanzania.

Halima Mdee: Nakuona tu kubwa la maadui umeanza kuwa na busara siku hizi. Halaf nan anawarudisha hawa maccm? [emoji196]

Nchemba left

Pole pole left

Bwege: Bora wameleft hawa ndo wanasababisha hata bunge la bajeti lisiwe na kiki mjini.

Tulia: Hili grup siliwezi mie naenda zangu hotel [emoji544] kupumzika

Tulia left

Mbowe: Kapumzike tu mama [emoji112][emoji112], hili grup huliwezi kama una roho nyepesi... By the way Halima nakuomba ofisi ya kambi rasmi ya upinzani sasa hivi.

Bashe added Joshua Nassari

Bashe added Mnyika

Bashe added Msigwa

Bashe: Majembe hayo

Ndungai left

Bwege: Spika katoka nduki za Harmorapa

Jenista: yoyoooo hadi mheshimiwa nae kakushoto

Serukamba: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]

Mwakyembe: Hivi wewe Bashe ni chama gani, Mbona hueleweki?

Bashe: CHAUMA

Mbowe: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sugu: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Prof Tibaijuka: Halooo inahuuuuu......

Ummi Mwalimu: [emoji15][emoji15][emoji15] bibi Tiba vepeee mbona haloooo za ki hadija kopa [emoji57][emoji57][emoji57]

Msigwa: Amen Bashe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Ester Bulaya: Bashe siku hizi unawaweza hawa magamba [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Bashe: Halafu nyie ccm msinizoee sana [emoji57] mshanikoroga kwanza ntaenda hata kwenye chama cha mzee Rungwe Spunda [emoji318]

January Makamba: Nenda tu Bashe kwani unadhani huku ndo tunakuhitaji wewe, kwa lipi kubwa ulilonalo? Hizi siasa umezikuta so ziache kama zilivyo.... Si umemuona shangazi yako Sophia Simba

Msigwa: [emoji23][emoji23][emoji23] acha wamzingue tulichukue jembe hilo

Lema: Bashe achana nao hao wakaanga sumu, njoo huku kwenye harakati za kweli

Mwakyembe added Makonda

Nape: Mmmh nini hii tena? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Makonda added JPM

Mbowe: maaaweee Yesu na Maria [emoji24][emoji24][emoji24]

Mbowe left

Nassari left

Lema left

Tundu Lissu left

Halima mdee left

Ester Bulaya left

Msigwa left

Makonda: Duh!!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Bashe: *Utashanga sana mwaka huu na bado* [emoji57][emoji57][emoji57]

Bashe left

Jenista left

Kigwangala left

Serukamba left

Bwege left

JPM: Mbona mnaleft waheshimiwa

Nape left

Makonda: Hawa ndo wanaozuia tusifikie uchumi wa viwanda.

JPM: Hivi ule mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi [emoji539][emoji548] kule kinondoni unaendeleaje?

Makonda: Mkandarasi [emoji62][emoji62]‍♀ ameshaanza kazi, tunasubiri mwezi ujao tukakague kujua maendeleo.

JPM: Safi sana, mie napenda watu wanaopiga kazi sio hao wapiga kelele wauza madawa na wataondoka wote mie ni dereva nisiesikia kelele za abiria

Musukuma left

You: *Nilisahau vyeti vyangu kwenye viunga vya bunge kuna alieviona?*

Mwakyembe left

JPM: Huyu ni nani anaeulizia vyeti humu?

Makonda removed you
Hii kitu nimecheka daaahh.....
 
Vodacom power to you:

Habari za leo. Tafadhali usipolipa deni lako la M-Pawa baada ya masaa mawili tutaanza kumtumia mumeo/mkeo picha na mesej zote ulizokuwa unamtumia mchepuko wako.

Vodacom power to you.
 
Eti nasikia watu mnasema MAPENZI NI MATAMU kuliko kitu chochote..
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji12][emoji12]

hivi mmeshawahi kunywa MIRINDA NYEUSI nyinyi...!!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mirinda nyeusi ndo soda yangu ni tamu balaa
 
Wamezidi bana wanasababisha watu watamani kujificha tu muda wote
17818657_1896371043908383_5453918526668537856_n.jpg

Mungu anakuon unavowsema asenal ujue……!!
 
Mke na mme walikuwa wamelala ghalfa mme akaanza kupiga kelele akiwa usingizini. Asubuhi ilipofika mke akauliza.... mke:Mme wangu mbona ulikuwa unapiga kelele usiku au ulikuwa unaota unakimbizwa.........?
Mme:Yaani bora ningeota nakimbizwa hata na simba mke wangu.......!!!! lakini nimeota nampigia tena kura Juma Poul Mafunguo!!!!!!!!.








Mi cmo bangi sijawahi vuta jamani........,,,,,()
Hahahaaa ndoto mbaya sana iyo
 
Nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, Je, wanajifunza maudhui yake kweli?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkinuna poa tu ndo nishasema.
 
*siku ya Leo ni mbaya pia kwa wafanyakazi wanaoanza likizo mwezi huu maana ni ngumu watu kujua km upo home kisa likizo,, watu watajua vyeti feki tu....kazi kwako kuwaaminisha km vipi tembea na barua ya likizo*
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Ndo nishasema
 
Back
Top Bottom