Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
[emoji23] [emoji23] [emoji23]*siku ya Leo ni mbaya pia kwa wafanyakazi wanaoanza likizo mwezi huu maana ni ngumu watu kujua km upo home kisa likizo,, watu watajua vyeti feki tu....kazi kwako kuwaaminisha km vipi tembea na barua ya likizo*
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndo nishasema
Mmmmh mwaka huu*siku ya Leo ni mbaya pia kwa wafanyakazi wanaoanza likizo mwezi huu maana ni ngumu watu kujua km upo home kisa likizo,, watu watajua vyeti feki tu....kazi kwako kuwaaminisha km vipi tembea na barua ya likizo*
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ndo nishasema
Teh Teh Teh Teh Teh Teh.....Saa,zingine maisha yanabana mpaka unajiuliza "au ni zile meseji nazotumiwaga ,niwatumie watu kumi alafu nazipuuza"[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] β¦β¦!!!!,hakyanani nikitumiwa tena sizifuti nione labd maisha yanawez kuwa mepesi kidgo!!!
Yamkukut nn mkuuβ¦!!
[emoji3][emoji3][emoji3]BONGO BHANA YAANI WENYE AKILI WENGI HAWANA HELA WENYE HELA WENGI HAWANA AKILI CHA AJABU ZAIDI NI WENYE KAZI WENGI HAWANA VYETI HALAFU WENYE VYETI WENGI HAWANA KAZI.
Huwezi kuwa na pesa bila kuwa na akili.[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii balaaaβ¦!!BONGO BHANA YAANI WENYE AKILI WENGI HAWANA HELA WENYE HELA WENGI HAWANA AKILI CHA AJABU ZAIDI NI WENYE KAZI WENGI HAWANA VYETI HALAFU WENYE VYETI WENGI HAWANA KAZI.
Unaingia kwenye makunbusho ya dunia kuwa kati ya watu wenye akilikwa kweli nimeambiwa eti nipishe uchunguzi sijui wanaenda kunichunguza akili muhimbili.
Itakuwa mihanMKE: Una mpango gani na Pasaka hii, mume wangu?
MUME: Nitafanya kama Yesu...
MKE: Una maanisha nini???
MUME: Nitaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu...
MKE: Unanishangaza!... Kama utafanya hivyo, nami nitafanya kama Maria...
MUME: Unamaanisha nini?
MKE: Nitapata mimba bila ya kuingiliwa na wewe mume wangu...
Mume yuko hospitali, haongei hadi sasa, anapumulia gesi!...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui serikali italiamuaje hili. Kuna hakimu m1 amebainika ana vyeti fake katika mahakama ya wilaya ya kiomboi. Hivyo wafungwa waliyofungwa na hakimu huyo wamegoma kula kwamba inatakiwa waachiwa huru kwa sababu hukumu yao ni fake!!
Usipofuzu maana yake umekufa tayriUkifanikiwa kuvuka kwa hiyo staili, umeshafuzu mafunzo ya komandoo.... ππππππ
[emoji23] ngoja wajeUnataka kuoleww na hauna shepu..
What do you expect
Bongo bila vyeti hautombeki....
Mh nimecheka kwa sautijana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...