Mzee Kifaruhande na Jimbi wao asbh na mapemaaa wanaamsha kupiga mnazi, hawana habari ya sensa huku Ngoswe anahangaika na MazoeaMzee mitomingi kashafanya yake, kalewa chakari kachoma kurasa zinazofuata...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]*Kigugumizi noma kunajamaa alienda ukweni kufika akapewa muwa akasema si....si....siwezi! ****...****....kumaliza peke...peke...pekeyangu labda tuka...tuka...tiane na mama....mkwe! Sababu nina ****....****....ubovu wa meno. Mama mkwe akang'aka we mkwe unikome kabisa tabia gain *hiyo*?
[emoji85][emoji85][emoji119][emoji119]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji19] [emoji3] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Girl : hie luv
Boy : im gud and u
Girl : guess wat?
Boy : wat?
Girl : Tues iz the 14th
Boy : yah I know
Gil : OMG! u remembered!
Boy : yes its Barca vs PSG I cant wait...
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha niceWife: "How would you describe me?"
Husband: "ABCDEFGHIJK."
Wife: "What does that mean?"
Husband: "Adorable, beautiful, cute, delightful, elegant, fashionable, gorgeous, and hot."
Wife: "Aw, thank you, but what about IJK?"
Husband: "I'm just kidding!
Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi utaondoka na stress..!
Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Future [emoji289]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vuta picha umegia chooni kukata gogo pembeni yako lile dishi kubwa la maji limejaa fully, unamaliza kukata gogo unaangalia kopo la kutawaza lipo kama hatua tano ivi ndo utajua kuwa bata akitembea analinga au anayake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vuta picha umegia chooni kukata gogo pembeni yako lile dishi kubwa la maji limejaa fully, unamaliza kukata gogo unaangalia kopo la kutawaza lipo kama hatua tano ivi ndo utajua kuwa bata akitembea analinga au anayake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23]Unaweza post picha ya mkeo then watu wakakuuliza...," kumbe na wewe unamjua uyu malaya"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndipo utajua ni kwanini Petro alimkana Yesu mara 3[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]