Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Endelea...
Ukifika kwenye ile kiss matata alaiyoipiga Ngoswe kule mtoni unishtue.
Mi ngoja nikuangalizie mama mazoea asije kuharibu utamu.
Mzee mitomingi kashafanya yake, kalewa chakari kachoma kurasa zinazofuata...!!
 
*Kigugumizi noma kunajamaa alienda ukweni kufika akapewa muwa akasema si....si....siwezi! ****...****....kumaliza peke...peke...pekeyangu labda tuka...tuka...tiane na mama....mkwe! Sababu nina ****....****....ubovu wa meno. Mama mkwe akang'aka we mkwe unikome kabisa tabia gain *hiyo*?

[emoji85][emoji85][emoji119][emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Girl : hie luv
Boy : im gud and u
Girl : guess wat?
Boy : wat?
Girl : Tues iz the 14th
Boy : yah I know
Gil : OMG! u remembered!
Boy : yes its Barca vs PSG I cant wait...

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji19] [emoji3] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakati unasifia hii hali ya hewa, napenda kukujulisha yafuatayo:
1)Huggies ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja
2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo
3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka
4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=
5)Baby Walker Tshs 110,000/=
Sasa ww jishaue tu kujitia una jini mahaba.
 
*Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
KWELII TUNAISOMA NAMBA MWAKA HUU MVUA ZOTE HIZI HATUONI HATA WALE KUMBI KUMBIII TUPATEPO HATA KA MBOGA KA JIONI [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Okay, kumbe unaielewa hali yako!
Karibu..

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vuta picha umegia chooni kukata gogo pembeni yako lile dishi kubwa la maji limejaa fully, unamaliza kukata gogo unaangalia kopo la kutawaza lipo kama hatua tano ivi ndo utajua kuwa bata akitembea analinga au anayake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vuta picha umegia chooni kukata gogo pembeni yako lile dishi kubwa la maji limejaa fully, unamaliza kukata gogo unaangalia kopo la kutawaza lipo kama hatua tano ivi ndo utajua kuwa bata akitembea analinga au anayake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaweza post picha ya mkeo then watu wakakuuliza...," kumbe na wewe unamjua uyu malaya"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndipo utajua ni kwanini Petro alimkana Yesu mara 3[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom