Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

p
 
*Jana nlienda kununua parachichi la mia tano nkaomba mfuko, mama Ayubu akaniambia hatoagi mfuko kwa vitu vya chini ya elfu moja, sasa leo nimeenda kununua vocha ya elfu moja nkaomba mfuko... Mpaka sasa muuzaji ananikodolea macho sijui anataka kunipa mifuko Miwili.......*
 
*Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje ww akarudia tena KISIMI anko. Aisee nkashika bakora nikamchapa kweli ndo Dada anakuja anasema mtoto alimaanisha 'KISS ME'*

*Haya mambo ya kupeleka watoto shule za international ndo yanatuumbua ata sisi wenye vyeti feki kudadeki, pole anko mwaya*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wee noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwalimu aliwauliza wanafunzi
"1+1 ni ngapi"?
Mwanafunzi mmoja akajibu
"ni 4"
Mlevi aliyekuwa anapita nje akastuka...
"Tutakufa mwaka huu kila kitu kimepanda!
Nauli,Sukari, Bia, Chakula
....... mpaka 1+1 iliyokuwa 2 nayo imekuwa 4![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji374][emoji374][emoji24][emoji24][emoji24][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Girl: Mpenzi, nakuomba uache kulewa"

Boy: "poa, na wewe acha kutumia make up"

Girl: "Mimi napaka make up ili unione mzuri"

Boy: "Na mimi nalewa ili nikuone mzuri"
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…