ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 103
pWakati unasifia hii hali ya hewa, napenda kukujulisha yafuatayo:
1)Huggies ni Tshs 38,000/= kwa Pack moja
2)SMA Milk Tshs 52,000/= kwa kopo
3)Bima ya mtoto ya Afya 1,540,000/= kwa mwaka
4)Gharama za mama kujifungua hospitali nzuri si chini ya Tshs 700,000/=
5)Baby Walker Tshs 110,000/=
Sasa ww jishaue tu kujitia una jini mahaba.