Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiiii mungu wangu mbavu zanguu
 

Mimi nimefatilia kile kifo cha yule dada anaesemena amebakwa hadi kufa ni kwamba diamond platnumz ndie msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakat anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumpata miss wa korosho husaidia kumfanya mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya kilimanjaro ndio huletja matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji*
 
We mkali
 
TANGAZO MUHIMU SANA!!

Ndugu yangu mkristo na muislam chukua tahadhari mapema sana.

Usije ukaenda KFC au cafe yeyote ukala vyakula kama pizza [emoji487],chips kuku wa kienyeji au wakisasa, eggchop, bagga, maini, sandwich, beef meat chop nk. Bila ya kunikumbuka na Mimi maana pia ndio mambo yangu hayo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdogo: Kaka ule ugonjwa wako ukiombwa hela unatoa matusi umepona?
Kaka: Nimepona sahivi mdogo wangu. Kwanini?
Mdogo: Nina shida ya elfu 50!
Kaka: *#@!WI@&[emoji768]¥«$£¢¤¥§…&!!
Mdogo: Kaka ndio vp tena?
Kaka: Umenitonesha

Kweli bangi mbaya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…