Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Jamaa mmoja alkua na tabia akilala na mke wake wakiwa faragha raha ikimkolea anapiga makelele,mpk majirani wanackia.siku moja jirani yke mzee hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana,watu wote wanajua ww na mkeo mnafanya nn...jamaa akajibidiisha kwa cku mbili hakupiga kelele.siku ya tatu jamaa akashindwa kustahmili kwa raha ilivyo mkolea akaanza kupiga kelele,"aaaaah,mzee hamisi nisamehe sanaaaa, hamisi aaaaaash,nisamehe ntamaliza xaxa hiviii aaaaaaaah!!!...mzee hamisi akafungua dirisha,akamwambia piga kelele uwezavyo lkn uctaje jina langu majirani watajua umelala na mimi mwanaharamu wewe..tena unikome mbwa wewe.

[emoji23][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiiii mungu wangu mbavu zanguu
 
7ae8bee8286c8291dcf4bc3e793ca09e.jpg
 
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!

Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]

Mimi nimefatilia kile kifo cha yule dada anaesemena amebakwa hadi kufa ni kwamba diamond platnumz ndie msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakat anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumpata miss wa korosho husaidia kumfanya mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya kilimanjaro ndio huletja matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji*
 
Jamaa mmoja alkua na tabia akilala na mke wake wakiwa faragha raha ikimkolea anapiga makelele,mpk majirani wanackia.siku moja jirani yke mzee hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana,watu wote wanajua ww na mkeo mnafanya nn...jamaa akajibidiisha kwa cku mbili hakupiga kelele.siku ya tatu jamaa akashindwa kustahmili kwa raha ilivyo mkolea akaanza kupiga kelele,"aaaaah,mzee hamisi nisamehe sanaaaa, hamisi aaaaaash,nisamehe ntamaliza xaxa hiviii aaaaaaaah!!!...mzee hamisi akafungua dirisha,akamwambia piga kelele uwezavyo lkn uctaje jina langu majirani watajua umelala na mimi mwanaharamu wewe..tena unikome mbwa wewe.

[emoji23][emoji3][emoji3]
We mkali
 
TANGAZO MUHIMU SANA!!

Ndugu yangu mkristo na muislam chukua tahadhari mapema sana.

Usije ukaenda KFC au cafe yeyote ukala vyakula kama pizza [emoji487],chips kuku wa kienyeji au wakisasa, eggchop, bagga, maini, sandwich, beef meat chop nk. Bila ya kunikumbuka na Mimi maana pia ndio mambo yangu hayo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdogo: Kaka ule ugonjwa wako ukiombwa hela unatoa matusi umepona?
Kaka: Nimepona sahivi mdogo wangu. Kwanini?
Mdogo: Nina shida ya elfu 50!
Kaka: *#@!WI@&[emoji768]¥«$£¢¤¥§…&!!
Mdogo: Kaka ndio vp tena?
Kaka: Umenitonesha

Kweli bangi mbaya[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377]
 
Jamaa mmoja alkua na tabia akilala na mke wake wakiwa faragha raha ikimkolea anapiga makelele,mpk majirani wanackia.siku moja jirani yke mzee hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana,watu wote wanajua ww na mkeo mnafanya nn...jamaa akajibidiisha kwa cku mbili hakupiga kelele.siku ya tatu jamaa akashindwa kustahmili kwa raha ilivyo mkolea akaanza kupiga kelele,"aaaaah,mzee hamisi nisamehe sanaaaa, hamisi aaaaaash,nisamehe ntamaliza xaxa hiviii aaaaaaaah!!!...mzee hamisi akafungua dirisha,akamwambia piga kelele uwezavyo lkn uctaje jina langu majirani watajua umelala na mimi mwanaharamu wewe..tena unikome mbwa wewe.

[emoji23][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
 
Back
Top Bottom