Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 657
- 581
Hahahahahah!!!! Nakufa Huku,,, hahahahahaKIVULI BWANA!
Yaani mimi nipo kwenye kibanda nanunua
MCHICHA lakini chenyewe kimesimama
BUCHANI
DuhMAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
AHSANTE MAGUFURI UMENIFUNZA MENGI..
Hahahahahaha,,, Jf Raha sanaMpemba Alikuwa Anamfundisha Binti yake
MBA MBE MBI MBU
Binti akamuuliza baba mbn umeruka moja?
Baba akamjibu iyo utaisoma kwa mumeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Two thieves were to be jailed kulingana na kile ameiba
Kamau:aliiba crate ya soda so akafungwa miaka 24
Njoroge:aliiba tray ya mayai so miaka 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwaura collapsed. Aliiba ngunia ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Sorry, umesema?[emoji15] [emoji15]Hahahahahah!!!! Nakufa Huku,,, hahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]YEYOTE ANAYESOMA HUU UJUMBE NAMUOMBEA MWAKA HUU APATE MIMBA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Type Amen[emoji120]
HahahahaaaaaaaMume baada ya kurud om after work kachoka kamkuta mkewe aliye mtoa sigimbi kwa bibi kanuna balaa.
Mume: una nini mke wng?
Mke: kwani hujui?
Mume: ningekua najua nisinge kuuliza mke wng.
Mke: siku hizi sikuelewi kabisa mume wng, wataka nikupende vp?. Nataka unieleze ni nani anaitwa Alarm anapiga simu kila siku alfajiri tu na wewe unaikata ili nisisikie maongezi yenu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pumbaf, jana nilipata mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nilikula wali kilo moja na maharage robo kilo, usiku nilitema mate sana[emoji38] [emoji38] Lakini bahati yako leo asubuhi imetoka[emoji23] [emoji23] [emoji23]YEYOTE ANAYESOMA HUU UJUMBE NAMUOMBEA MWAKA HUU APATE MIMBA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Type Amen[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zanguuuuMwanaume ni nani.!?
Mwanaume ni yule ambaye anaenda HOTELINI kwanza na kumuambia mhudumu wa hoteli nikija hapa na DEMU sema " IMEBAKI CHAI NA MAANDAZI.."
Maaaweee....umeua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pumbaf, jana nilipata mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana nilikula wali kilo moja na maharage robo kilo, usiku nilitema mate sana[emoji38] [emoji38] Lakini bahati yako leo asubuhi imetoka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuvimbirwa noma asee, nilihisi ndio mimba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sometimes nikisoma Bible huwa namchukia shetani sana...
Yani imagine alikua anamshawishi Yesu abadilishe mawe yawe mkate....
Yani inamaana now Nyumba zetu tungekua tunajengea mikate....
Kwaiyo kama umejenga kwenye hifadhi ya barabara Tanroads wakija na chai tu... Wanaikula Nyumba yako yote.....
Asee I hate shetani na idea zake zote....
Hii nimecheka kidogo niangukeTwo thieves were to be jailed kulingana na kile ameiba
Kamau:aliiba crate ya soda so akafungwa miaka 24
Njoroge:aliiba tray ya mayai so miaka 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwaura collapsed. Aliiba ngunia ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app