Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

John sanga ni mwanafunzi mchoraji,siku moja alichora noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu..mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa akaanguka na kupasuka pua.....
Wakati alikua anakimbilia ile ela kuiokota,akauliza wanafunzi nani aliechora hapo chini?
Wanafunzi wote wakamtaja john
Mwalimu kamua kumpigia baba yake john simu(mzee sanga).
Mzee sanga kapokea akiwa hospital kalazwa, mwalimu akamweleza makosa ya mwanae, mzee sanga akamwambia afadhal yako wewe umepasuka pua hujalazwa, huyo mbwa Jana kachora uchi Wa mwanamke kwenye socket ya umeme
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
UNAISI MZEE SANGA KAUMIA WAPI!!?
 
"Nilimvizia kalala fofofo ndani halafu Nikaisogeza pembeni chupi yake taratiiiibu bila yeye kujua halafu na mimi nikaitoa boxer yangu"

Hua sipendi kuchangia kamba moja kuanika na nguo za kike!

Endelea kufikiria ujinga tu!

[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii mbavu zangu..
Kamdekie
 
*Nimemtembelea rafiki yangu nyumbani kwake mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa karibu kusonga ugali.*
*Nikamtuma nje, wakati anatoka nje, nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujua alipima maji kulingana na unga uliobaki. Sasa hivi tunakunywa uji* *hatuongeleshani*.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji125] yeuwi
 
*mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango*

Mazungumzo Huwa hivi...

_Wewe_[emoji19]: *EEEEEH*

_Aliefungua mlango_[emoji15]: *AAAH*

MWISHO WA MAZUNGUMZO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haaaahaaaahaaaa hizi akili za kuazima sio bure!!!!!
 
hahahaha dah nine smile tangu naanza kuusoma uzi mpaka coments big thumb!
Hiyo avatar yako ingekuwa mimi ningeambiwa nishakula kashata za bangi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Jinga jinga wewe
Mawazo yako siyo kabisa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Nimekaa Nikafikiria Sanaaa!

Unga 50kg ni 78,000/=.
Na Cement 50Kg Ni 16,000/=.

[emoji35] Kumbe kujenga nyumba ni rahisi kuliko kujenga mwili!!?

[emoji117] Nisiskie tena mtu ana kitambi na hana nyumba!!!

[emoji88]
[emoji113]/|>
[emoji158]
/ /
[emoji149][emoji149]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
_ Bongo_
 
Labda una ngoma…
Hapa nasubiri nipate hela ninunue matarumbeta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…