proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,924
Na kwel inabd umrudie muumba wakoNaacha hivi karibuni, mwezi wa mfungo umefika[emoji120] [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwel inabd umrudie muumba wakoNaacha hivi karibuni, mwezi wa mfungo umefika[emoji120] [emoji120]
Hahaa![]()
Mende na panya hawana adabu, juzi nimeingia kabatini nikakuta boksa yangu moja sijaivaa muda mrefu, nikaona niitoe iliniivae, kuichunguza nikakuta wameifanya kama hivyo hapo juu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washenzi sana, nitawapulizia moshi mzito wa bhangi hadi wakimbie wenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa mi born town.
Nimenunua Kwake karanga za 500 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu (Elfu Kumi).
Basi ameniomba nimsubiri akatafute change me nibaki na kapu lake la karanga.
Sasa ni masaa mawili tangu aondoke hajarudi.
Nimepiga hesabu karanga zilizopo ni za 10,000 kwa hiyo hapa ndo nimeanza kuzitembeza ili nirudishe ten yangu.
Maisha haya jamani[emoji113][emoji21]
Mkono wa serikali kwenye maswala ya hela za maafa na rambi rambi ... Mkuu inabidi uelewe sasa kwa huo mfano wangu.NIKIWA SHULE MWALIMU WANGU WA KISWAHILI ALINAMBIA "MTU MWENYE MKONO MREFU MAANA YAKE NI MWIZI"
SASA KUNA WAKATI UNASIKIA VIONGOZI WANASEMA..MSICHEZE NA SERIKALI MAANA SERIKALI "INA MKONO MREFU"
YAANI HAPO NDO NASHINDWAGA KUELEWA NDUGU WATANZANIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka yaani kidogo nijambe [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel
Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka yaani kidogo nijambe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel
Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]