Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

IMG-20170521-WA0017.jpg
 
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa. Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza. Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto. Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] [emoji35]. "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" . " kweli hayatoi?". Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo kingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini. Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa? Wanawake acheni hizo!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji38][emoji28][emoji44][emoji33]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
SIPENDI TABIA HII MIMI

*Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfuata msichana inbox iwe fb whatsapp, inta au jf na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama inavyonikera mimi, NITUMIE NAMBA YAKO YA SIMU INBOX* tujadiliane tuone ni kwa namna gani tunaweza *kulikabili hili tatizo*!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji195][emoji195][emoji195][emoji195]
 
Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe siyo chai!!
Itakuwa ndio niliyekutana nae pale kichochoroni. Akikuwa na chupa yake ya konyagi mkononi, nami nilikuwa na mzinga nimeshikilia akaniuliza: NAJIONA KWENYE KIOO AU.... mimi nikajibu: HATA MINI NASHANGAA KIOO KINAZUMGUMZA....
Sasa hivi ndo nagundua kweli sisi vyapombe hatuna akili nzuri
 
Itakuwa ndio niliyekutana nae pale kichochoroni. Akikuwa na chupa yake ya konyagi mkononi, nami nilikuwa na mzinga nimeshikilia akaniuliza: NAJIONA KWENYE KIOO AU.... mimi nikajibu: HATA MINI NASHANGAA KIOO KINAZUMGUMZA....
Sasa hivi ndo nagundua kweli sisi vyapombe hatuna akili nzuri
Pombe siyo uji...nadhan mmoja wenu atakuwa huyu baada ya kuachana[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2333bd0dd56fd7a8542a38dcac23ec30.jpg
 
2e898b409942dd9adbebaa8e3b418b44.jpg

Mende na panya hawana adabu, juzi nimeingia kabatini nikakuta boksa yangu moja sijaivaa muda mrefu, nikaona niitoe iliniivae, kuichunguza nikakuta wameifanya kama hivyo hapo juu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washenzi sana, nitawapulizia moshi mzito wa bhangi hadi wakimbie wenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom