Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*JE WAJUA?*
*Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa (anus) ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?*

*nawaona cheki unavojaribu...utakuja kunya buree jaman....[emoji23][emoji23]*

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
We mpuuz kweli hahahah
 
Ukitaka kujua kweli wanaume tumeumbwa mateso we usivae boksa[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] then kwa bahati mbaya ubanwe na zipu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadeki kama hutoimba acapela kwa sauti #1
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yeuwii da we jamaa Nouma sipati picha siku nikikuona[emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yeuwii da we jamaa Nouma sipati picha siku nikikuona[emoji23]
Ukiniona nitakuwa nishavuta, macho mekundu(nyanya) na nitakuwa sikukumbuki tumeonana wapi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Na mbegu watoe...
Mi mbegu huwa natengeneza kashata, kama zile za ufuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Mi mbegu huwa natengeneza kashata, kama zile za ufuta[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
Huo ubunifu ni mzuri, hizo safi sana ukishushia na bapa...[emoji763] [emoji763] [emoji124] [emoji124]
 
Bapa linaongeza IQ, kijiti kina boresha IQ...
Ongeza IQ wewe...[emoji14] [emoji23] [emoji763] [emoji124]
Kweli?[emoji15] [emoji15] basi ngoja nikalitafute sahv mana hapa nilipo leo nina kiu balaa, nimevuta sana hadi mwili unawasha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
MSUKUMA hata afanye kazi benk, atasema bado yupo kibaruani...! Sasa ngoja MPARE afanye kazi kwenye mashine ya kusaga na kukoboa, UTASKIA... " I work as a crushial engineering in a monocotyledon fydelyzing company.. [emoji112][emoji114][emoji114]!... Wapare popote mlipo agizeni[emoji493][emoji503][emoji504]! ntakuja kulipa
 
Una date na DJ alafu unashangaa ana ku cheat

We mtu anaweza kuchanganya nyimbo 25 kwa dakika moja Atashindwa kukuchanganya na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WANAWAKE BHANA MUNGU ANAWAONA

Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuasha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu? [emoji4]

MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19]

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. [emoji54]

MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? [emoji53]

MUME: Basi yaishe endelea kulala

MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?
MUME:Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby [emoji47]
MKE:Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?[emoji40]
MUME:Jamani mi sijasema hilo[emoji20]
MKE:Kwa hiyo mie muongo?
MUME:Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii[emoji21]
MKE:Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?[emoji36]
MUME:Sikia we lala mie naenda jogging.[emoji43]
MKE:Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"
MUME:Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe......
Jamaa nimemuacha kibarazani kwake amewasha kipisi cha bangi anapiga paf anatafakari la kufanya[emoji189][emoji189][emoji189]
Hahaha huyo atakua mimi.
 
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.
Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza 'what happened to my plate?
House girl akajbu: 'The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee......the pasuka paaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika[emoji23]akili yangu naijua mwenyewe.
Ebanaeeee, inatosha aseee
 
Back
Top Bottom