Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

alibakari baada ya kupuliza mmea na kuingia ulingoni...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
7c5fb198ecbe3a3a30d3ab64e9868989.jpg

9db8b297a67c077945f6f066aed3785c.jpg

Akitoka hapo anaenda kushushia na kashata za mbengu za lijani!
Ushauri; usiache hii kitu, inakufaa sana maana kwenye maakuli huzazi kitu! [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa,, balaa sanaa,, afu hapo usikute akifik nyumbn anaingia na jikoni kuangalia chchote kitu…!!!
 
*Ku date na mwanamke mfupi sio tatizo*

Tatizo ni pale unapo panda nae kwenye daladala konda anasema

"kaka mpakate mwanao"
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, silipi nauli kabsaa…!!
 
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel

Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,, utaniua we Numbisa, itabidi nimwambie anisaidie hata kudeki tuu…!!!
 
Dawa ya kiburi, jeuri tu.

Mke:Naelekea london, nikuletee zawadi gani?
Mume: kitu gani unaweza niletea wewe?
Mke:we omba Alafu utaona.
Mume: Niletee msichana wa kizungu.
Mke: (mke akaenda London na kurudi)
Mume: zawadi yangu iko wapi?
Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji85]

*Pia Wamama hawapendi ujinga*
Duuuu……!!!
 
[emoji56]Nimevurugwa jamani[emoji56]
Hebu na wewe imagine Kwa mfano tundu la choo lingekua na kamera linarekodi movie we ungekua season ya ngapiiii??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ujinga siachi
 
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi... Usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi. Ile unaamka na hasira zako kwenda kumfungulia unajikwaa kidole cha mwisho cha mguu ktk kona ya kitanda ile ndiiii.. kugeuka unaparamia ndoo za maji yanamwagika. mara unateleza ktk yale maji unaangukia meza unaangusha tv, deki na ww chini mara waya wa umeme unakupiga short mgongoni, unafika mlangoni na maumivu ya kidole + uchovu + hacra + hasara na short juu unakutana na jamaa anakwambia nasajili line za Halotel

Hapa ndo utaelewa samehe 7x70 inamaanisha nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa: We dada umebikaa[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Dem: Kwaiyo nini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Jamaa: Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana[emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa,, balaa sanaa,, afu hapo usikute akifik nyumbn anaingia na jikoni kuangalia chchote kitu…!!!
Na akikosa hilo timbwili atakalomwamshia mama Akwilo sasa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani bhange nzuri lakini inategemea na ukanda ilimotoka..[emoji763] [emoji763] [emoji124] [emoji124]
 
*CHEKI HII YA PANYA*
[emoji232] [emoji232] [emoji232] !
*Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi*

*Panya 1: *jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!*

*Panya 2* *Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa*
*kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa*

*RAT 3* *Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!*
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
*Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa*
 
Dawa ya kiburi, jeuri tu.

Mke:Naelekea london, nikuletee zawadi gani?
Mume: kitu gani unaweza niletea wewe?
Mke:we omba Alafu utaona.
Mume: Niletee msichana wa kizungu.
Mke: (mke akaenda London na kurudi)
Mume: zawadi yangu iko wapi?
Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji85]

*Pia Wamama hawapendi ujinga*
Huyu mwanamke atakuwa ametoka kanda maalumu maana kule ubabe ngoma droo.
 
*HUYU* *NDO* *MWANAMKE*

Akikuta *PESA* wakati anafua atapiga kimya kimya

sasa hebu akute umeacha *CONDOM* ndo utajua kama umeoa *KIPAZA* *SAUTI* [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamoja... akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
SHINDA SAFARI YA KUTEMBELEA KITUO CHA POLISI

tuma ujumbe "nauza bangi" kwenda namba 911 na ujiweke kwenye nafasi ya kushinda safari ya bure 'vyakula na malazi katika kituo cha polisi kilichopo karibi nawe

_uwajuze na wengine ili nao wapate nafasi ya kushinda. [emoji125] [emoji125]
 
*HUYU* *NDO* *MWANAMKE*

Akikuta *PESA* wakati anafua atapiga kimya kimya

sasa hebu akute umeacha *CONDOM* ndo utajua kama umeoa *KIPAZA* *SAUTI* [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamoja... akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahaaa. Ukitaka kujua kama kondom ni nzito nenda nayo nyumbani. utadhani umebeba mfuko wa simenti
 
*HUYU* *NDO* *MWANAMKE*

Akikuta *PESA* wakati anafua atapiga kimya kimya

sasa hebu akute umeacha *CONDOM* ndo utajua kama umeoa *KIPAZA* *SAUTI* [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamoja... akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu asante nimecheka mpaka mbavu zinauma
 
Back
Top Bottom