Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mwalimu: Kama kaka yako akisomea Uhandisi utamwita brother Engineer, je dada yako akisomea Sheria utamuitaje?
Bashite: Sister in-Law.! Mwalimu: Usipobadilika utarudi Kolomije na ndala.! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daudi chaaa!!!
 
Ile time unabaki kuona aibu,ni pale
unafanya mtihan wa mathematics halafu
jina huandiki sababu unajijua wewe ni
kilaza!!!!!!!sasa mwalimu anakuja kugawa
mitihan baada ya kusaisha,,,anagawa
mitihan yote halafu wanafunz wote wamepata mitihan yao, pekee ako ndo
haujapata!!!!
halafu unakuja kusikia mwalimu anasema
kuna punda haijaandka jina ije hapa

hapo ndo utajua kwa nini titi ni ziwa lakini hakuna samaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]
 
Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university kufundisha hesabu[emoji28][emoji28][emoji28]

[HASHTAG]#zotekalikinoma[/HASHTAG]!!
Hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
c404dea96b518ff3991dcca5e02f7b9b.jpg
 
Huu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Kama kabati la vyombo
 
Huu Ufala wa Madem Huwa Mnavaa Earings Kwa Mapua, Ulimi, Masikio sijui kwa Uso...Maneckless ka mia Mbili...!!!
Mwingine ameanguka jana Town ametoa sauti Ka sufuria[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupwangalangichikong'oung'enkikounkong'ouu!
Hahahaha uwiiiii
 
Back
Top Bottom