Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Dada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.

mambo yakawa hivi:

*DADA:* Nimekuja kununua kasuku.
*MMILIKI:* Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?

*DADA:* Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.

(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)

*DADA:* Naonekanaje?
*KASUKU:* Unaonekana kama kahaba.
*DADA:* "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"

*MMILIKI:* Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.

". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"

MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
*DADA:* Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
*KASUKU:* Mume wako!
*DADA:* Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
*KASUKU:* Mume wako & shemeji yako.
*DADA:* Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
*KASUKU:* Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
*DADA:* Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
*KASUKU:* (Akageuka nyuma akamwangalia mmiliki wake ) . . . . kisha akasema *"Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!*
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna binti mmoja yuko chuo nilikuwa nachat nae whatsapp, nikamuuliza vp uko poa na nipo gheto utakuja? akanijibu niko poa lakini sahv nipo "so tight", nikasema wow leo lazima kitanda kivunjike[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangu saa nane mchana namsubiria hadi sasa bado hajafika, nahc itakuwa anachukua na shuka aje kulala huku[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa Flani Watatu Walienda
Kupanga Chumba Hotelin
Wakapewa Chum ba Ghorofa Ya
90.
Siku Moja Wakati Wanarudi
Hotelin Kulala Wakakuta Umeme
Umekatika Wakashindwa Kutumia
Lifti Wakaamua Kupanda Ngazi
Lakini Kwakua Ni Mbali Sana
Mpaka Ghorofa Ya 90
Wakakubaliana Mmoja Apige
Stori za Kutisha Mpaka Ghorofa
Ya 30 Na Mwingine Stori za
Vichekesho Mpaka Ghorofa Ya 60
Na Watatu Stori za kuhuzunisha
mpaka Ghorofa Ya 90,
Wa Kwanza Akapiga Stori Za
Kutisha Mpaka Ghorofa Ya 30,
Wa Pili Za Vichekesho Mpaka
Ghorofa Ya 60, Ilipofika Zamu Ya
Watatu Akasema " Stori Ya
Kusikitisha Ni Kwamba
Tumesahau Funguo Reception."
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] dooooh
 
Kuna binti mmoja yuko chuo nilikuwa nachat nae whatsapp, nikamuuliza vp uko poa na nipo gheto utakuja? akanijibu niko poa lakini sahv nipo "so tight", nikasema wow leo lazima kitanda kivunjike[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tangu saa nane mchana namsubiria hadi sasa bado hajafika, nahc itakuwa anachukua na shuka aje kulala huku[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We nae kiazi afu bashite
 
Jana dogo flani anaingia class nikammind, kwanini juzi hakuja shule. Akanjibu
"nilimpeleka ng'mbe wetu jike kwa mjomba kupandisha maana mjomba ana fahali."
Nikamuuliza,
"baba yako hawezi kufanya hiyo kazi"
Akanijibu,
"anaweza ila fahali la mjomba linafanya vizuri na kwa uhakika zaidi".

Sijui ndo niseme dogo hakutaka kutoa majibu mengi kwa maswali ya kijinga!!
 
WALLAHI CTAWAHI KUDANGANYA TENA

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"
Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtt wa kiume , "niaje mrembo", akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu"

Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale[emoji124][emoji124][emoji124]

Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu... [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Duuuu mkuu apo umeuwa kabsaaa
 
MWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Huyo namlisha majani.
MWANDISHI:Na mweusi!!!?
MZEE:Namlisha majani pia.
MWANDISHI:Umeanza kufuga lini hawa Ng'ombe wako?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI: Mweupe.
MZEE:Huyo nimeanza mwaka jana.
MWANDISHI:Na Mweusi!!!?
MZEE:Mwakajana pia.
MWANDISHI:Hivi Ng'ombe wako huwa wanalala wapi?
MZEE:Ng'ombe yupi mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Analala hapo kwenye boma.
MWANDISHI:Na mweusi analala wapi!!?
MZEE:Analala kwenye boma pia.
MWANDISHI:Kwanini nikikuuliza kuhusu Ng'ombe wako naww unaniuliza mweupe au mweusi alafu unatoa majibu sawa????
MZEE:Kwasababu Ng'ombe mweupe ndo wakwangu.
MWANDISHI:Enhe! Na huyo mweusi ni wanani??
MZEE:Ni wangu pia.
Ikijibana kucheka
Bado kfgo nhambeeeeee aiseeeeh


Kwakwakwakwa
 
Mkurya kapewa uji wa moto nyumbani kwake, kaunywa kwa haraka ili awahi kazini kaungua mdomo. Kufika kazini akaulizwa, "imekuwaje ukaungua mdomo?"
Akajibu "mama Bhoke kanipa uchi wa moto"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mimi, tatizo lafudhi
 
*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo

*MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo).

*MAZOEA*; Hodi! Hodi!

*NGOSWE*; Karibu

*MAZOEA*; (Akiingia). Ahsante. Nimekuja kuchukua vyombo.

*NGOSWE*; Vyombo! Kaa basi mbona unasimama kama vile hakuna viti.

*MAZOEA*; Nimeambiwa nifanye haraka.

*NGOSWE*; Mmm! Haya ngoja ninawe basi (Ngoswe ananawa kwa taratibu jicho likiwa usoni mwa Mazoea ambaye anatazama kando). Hivo mzima wee?

*MAZOEA*; Bee?

*NGOSWE*; Salama?

*MAZOEA*; Salama tu.

*NGOSWE*; Sasa ndio umekataa kukaa?

*MAZOEA*; (Ajidai hakusikia) Si umekwisha maliza?

*NGOSWE*; Bado kidogo.

*MAZOEA*; Basi nitakuja chukua baadaye. (Ataka kutoka)

*NGOSWE*; Basi nenda navyo. (Mazoea anarudi kuinama kuvichukua. (Ngoswe kwa sauti ndogo). Hivyo waitwa nani?

*MAZOEA*; Mie?

*NGOSWE*; Ndio wewe hapo kisura.

*MAZOEA*; (anatabasamu huku akiondoka). Mazoea!i

Story ni tamu ila tulishaambiwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe! ! !

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
We mtu mbaya sana wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hii ngoma imenibamba jo[emoji4][emoji4]

[emoji666] [emoji820]──────── 03.40



Kuna mjinga kajaribu kuplay[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah nilikuwa najaribu ku play hahahaha...April mosi bado jamani!
 
Jamaa kapewa kazi ya kuandika Pschotherapist kwenye mlango wa ofisi ona alichoandika
 

Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    9.7 KB · Views: 255
Kama utakipenda kimoja njoo PM tuzungumze biashara
1. Freezer aina ya Boss Tsh250000. Haina mlango wa mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 15000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 12000/=, haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny umeme na kidude cha kuregulate moto kimeharbika..

4. Meza ya plastic Tsh 75000/= ina miguu 3 na mmoja mfupi kidg.

5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 25000/= ila vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei 34000
7.Flat scren bei 50000 kioo kimepasuka na haina rimot control na batan zime haribika fasta nichek [emoji41]
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge 470000/= ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki, ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei 62500/= haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei 1400000/= haina matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na inadaiwa kodi ya miaka 2!

Karibuni, bidhaa ni nyingi sana, zipo za aina tofauti tofauti kama magari, ndege, treni, meli, maparashuti, vifaru, n.k vyote hivyo vikiwa katika hali mbaya sana, (ikumbukwe hizi ni toys za watoto zilizotumika huko uswahilini na kutupwa kwenye majalala)
Jaman nmechekaaaa ad nguv zmeisha
 
Mlevi mmoja alilewa sana hadi kushindwa kurudi nyumbani kwake hivyo akalala jalalani, chizi alikwenda jalalani na kupekua pekua taka taka, bahati mbaya akamshika matako mlevi, mlevi akatikisika, chizi akaanza kujisemea "Watanzania bwana watu wa ajabu sana, matako mazima wameyatupa"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chizi bwana
 
Back
Top Bottom