Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Ukigombana na mkeo mwache aende kwao, using'ang'ane kutuma watu huko kumrudishaa.
Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda kariakoo nunua chupi tano kubwa kubwa colours tofauti.
Zifue alafu anika mapema kwenye kamba ya mlango yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Watampigia mkeo simu wakimuambia sasa ameleta mwingine mwenye chura kukushinda wewe.
Kesho yake asubuhi utaona wife yuko mlangoni na kilio juu, na kuanzisha vurugu mwisho wa ugomvi atakwambia na siondoki mpaka nimuone huyo malaya wako, Watu ni kusaidiana bana!!![emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
*ENZI ZA SEKONDARI*
*John ana miaka 10 pungufu ya Baba yake mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya john.Tafuta umri wa..*
*1.john*
*2.Baba*
*3.Mama*
*......Hilo swali nilikuwa naliruka...Sio kwamba* *nilikuwa siliwezi ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za* *watu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *mwalimu wangu nsameh* *umbeya spendi
 
Tupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision? [emoji23][emoji23][emoji23]
Noma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bleaching your skin till you shine brighter than your future is not a problem, the problem is having White Face, Yellow Hands, Chocolate Lips, and Black Legs..My sister are you a zebra?
 
Breaking News:

Na Mimi nimetekwa na mwanamke wa Kitanga asiyejulikana ,nipo sehemu isiyojulikana ila yeye yupo na kanga moja Mimi kanipa kitenge chake,msinitafute endeleeni na mambo yenu tu

Mniache tu mie [emoji119]
 
Tupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha
 
Ukigombana na mkeo mwache aende kwao, using'ang'ane kutuma watu huko kumrudishaa.
Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda kariakoo nunua chupi tano kubwa kubwa colours tofauti.
Zifue alafu anika mapema kwenye kamba ya mlango yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Watampigia mkeo simu wakimuambia sasa ameleta mwingine mwenye chura kukushinda wewe.
Kesho yake asubuhi utaona wife yuko mlangoni na kilio juu, na kuanzisha vurugu mwisho wa ugomvi atakwambia na siondoki mpaka nimuone huyo malaya wako, Watu ni kusaidiana bana!!![emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha nalo neno
 
Niko Bar nimekaa peke yangu mezani wakat meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu
*Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja*
Kwa sauti kila mtu anasikia,
Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cwez kaa mwenyewe mm.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
*Oya wanangu nimeona vijeneza vizuri vya mtumba, vinauzwa bei chee tu tena saizi yenu kabisaa vipi niwachukulie mtakuja kunipa hela yangu? Vizuri kinoma vina feni na sehemu ya kuchajia simu na fire extinguisher kama mkienda moton. vp niwachukulie!*

[emoji124]‍♀[emoji124]‍♀[emoji119][emoji39][emoji39]
 
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : sumaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we sumaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: sumaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom