Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kila siku nikienda bank najaza vizuri zile slip zao na wananisahihishia vizuri lakini hata siku moja hawajawahi kuniwekea marks nilizopata.
Sasa leo nimegoma kuondoka hadi waniwekee marks nilizopata....
Namuona bank teller anaongea na askari hapa nadhani wanajadili wanipe alama ngapi
[Emoji23][emoji23] hatari
 
18251385_126881307860531_9109240036947132416_n.jpg
 
BREAKING NEWS
Nimefatilia taarifa ya press mpya MAKONDA juu ya UNGALIMITED arusha ni kwamba lema na jaji mkuu kifo cha yule dada aliyesema kabakwa hadi kufa ni kwmb diamond plutnum ndo msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakati anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumtafuta miss wa korosho husaidia mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya Kilimanjaro ndio huleta matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BANGI ZINAFUNGIWA LINI?
Si kwa pumba hizi[emoji23]
 
Mkeo anakuaga leo anakwenda saloon au kwenye kikao cha kina mama, anaoga anaingia chumbani anaanza kuvaa, anashika chupi ya kwanza anataka kuivaa anaiacha anachagua ya pili anaitazamaa anaiacha pia anaona ya tatu ndo inafaa kisha anavaa, wewe umelala tu kitandani unachat kwenye whatsapp hujiulizi swali "anachagua chupi nzuri ili nani akaione, kama kuna chupi mbaya kwenye list si azitupe anunue mpya".
Anakuaga anaondoka na wewe unamwambia poa mchana mwema wasalimie uko town, halafu ukiitwa fala unakuja juu eti "ooh mi mtoto wa mjini nimezaliwa ocean road".⁠

Mak*lio yako?wwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu yamekukuta au
 
Mwalimu aliwauliza wanafunzi
"1+1 ni ngapi"?
Mwanafunzi mmoja akajibu
"ni 4"
Mlevi aliyekuwa anapita nje akastuka...
"Tutakufa mwaka huu kila kitu kimepanda!
Nauli,Sukari, Bia, Chakula
....... mpaka 1+1 iliyokuwa 2 nayo imekuwa 4![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji374][emoji374][emoji24][emoji24][emoji24][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu uzi daah naupendaga sana nimegombana na shemej yenu ila daah hpa nacheka yey kanuna
 
BAUNSA : Baa Hii Washenzi Wote!

KAUNTA:Kwani Vip Mzee? Tumekukosea Nini?

BAUNSA : Nimeenda Chooni Jambazi Mmoja Na bastola si akaniwekea Kichwani Akadai Nikikataa Asinibake Ananilipua Risasi Ya Kichwa

KAUNTA: He Pole Wahuni Hao, Sasa Imekuwaje

BAUNSA : Imekuwaje Nini? Maswali Gani Hayo? Kwani Umesikia Mlio Wa Bunduki

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa mmoja alkua na tabia akilala na mke wake wakiwa faragha raha ikimkolea anapiga makelele,mpk majirani wanackia.siku moja jirani yke mzee hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana,watu wote wanajua ww na mkeo mnafanya nn...jamaa akajibidiisha kwa cku mbili hakupiga kelele.siku ya tatu jamaa akashindwa kustahmili kwa raha ilivyo mkolea akaanza kupiga kelele,"aaaaah,mzee hamisi nisamehe sanaaaa, hamisi aaaaaash,nisamehe ntamaliza xaxa hiviii aaaaaaaah!!!...mzee hamisi akafungua dirisha,akamwambia piga kelele uwezavyo lkn uctaje jina langu majirani watajua umelala na mimi mwanaharamu wewe..tena unikome mbwa wewe.

[emoji23][emoji3][emoji3]
 
BOY : Mambo baby

GIRL: (kimyaaa)

BOY : Mbona kimya hujibu
text zangu baby...

GIRL: (kimyaaa)

BOY : 539967894306871
vocha hiyo ya 5000

GIRL: Mbona haiingii baby
[emoji173][emoji173][emoji173]

BOY : Gongelea na nyundo
[emoji375][emoji375] [emoji375][emoji375]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo kwa daladala
Nilipoingia niliweka handbag yangu mapajani Hivi nkawa nimekunja mikono kiubaridi
Gari imejaa so watu wamesimama

Tumefika Supa ya jeshi mdada anashuka anataka kubeba bag yangu ashuke
Namuuliza Vipi anasema bag yangu
Namuuliza bag yako kwangu imefikaje akasema c nilikupa unishikie MI nimesimama

Nkamwambia Wizi wa kitoto huo
Akapigaje Kelele anataka bag yake
Vurugu kwenye bus
Anasema anaenda kumwona mgonjwa lugalo namchelewesha

Dereva akasema nipeni hyo bag kamwita traffic akamweleza Hapo tumeshafika njia panda ya goba
Traffic akauliza mwenye bag yake asemeje vichache vilivyomo
Mi Nkasema Nina Cm mbili
Kadi mbili zote crdb
Kitambulisho cha Kazi na cha cbe
Ye akasema nimeshafungua bag yake natamka nilivyoviona Nataka kumwibia akaanza kupiga kelele
Traffic Akaniuliza unaitwa Nani dada vitambulisho vimeandikwaje Hapo traffic kafungua pochi Kaona hivyo vitambulisho
Nkamwambia Jane Paschal rwekubya
Dada kadakia Hlo ni jina langu

Traffic Akamuuliza namba yako Yani cbe ni ngapi akasema chuo ndo nimeanza sijapata namba bado Ila Kitambulisho ninacho

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Traffic akamwambia Dereva endeleeni nasafari huyu mwizi niachieni
Ndo tumeondoka na pochi yangu

Khaaaa huu Wizi mpya

Copy pest imetokea kweli tuwe makini watu dunia imekwisha!
 
Back
Top Bottom