Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Mwanamke mrefu afu mwembamba akivaa wigi.. Akikaa mbali unaweza kudhani ni ufagio wa kukwangulia buibui
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
"*Watu waongo sijawah ona!!"
Eti:- 'Milima *haikutani*' *Lakini*
*binaadam wanakutana*"
*Hivi wewe kwa akili yako *unaweza*
*kukutana* *na* *RIHANA*? *Au* *RAMBO*.? *au*
*MESSI*.? *ama JET LEE*.?.
*Huyo* "KITALE *mwenyewe*" teja lakini*
*kukutana nae ufanye kazi*!".
*Sasa kwa tariifa yako utaendelea*
*kukutana na mimi mwanzo mwisho*,
*binadamu wengine wana sifa za*
*milima*[emoji16]
 
hizo bangi za utoton si mzur kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanasema bangi ukivuta paf moja basi akili yako haitakaa sawa kwa muda wa miaka 40, sidhani kama walikosea
[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
18444610_1948803732020776_8749081920798720000_n.jpg
 
VIASHIRIA VYA MWANAMKE KUFIKA KILELENI



1. Kama amevaa gauni litapeperuka kwa upepo.

2. Kama hajavaa koti ataanza kutetemeka kwa baridi.

3. Akiangalia chini ataona nyumba kama sisimizi.


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kupanda mlima yahitaji moyo sana nakuambia.
 
[emoji23]Enzi hizo shule kuna wanafunzi walikuwa wanaandika topic kwa kalamu nyekundu, sub topic kalamu ya nyeusi, na notes kalamu ya bluu.[emoji23] Sijui mko wapi siku hizi, au mlipata kazi sadolin?

nmeipenda iiih [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom