*SILLY QUESTIONS, SILLY ANSWERS*
*1. Mtu anakuona umejilaza kwa bed, na macho umefunga alafu anakuuliza*
*"unataka kulala"*...... *_"hapana najaribu kufa"_*
*2. Mvua inanyesha halafu unataka kutoka nje kisha mtu anakuuliza "unakwenda na hii mvua?"*..... *_"hapana nitakwenda na inayofuata"_*
*3. Rafiki yako anakupigia simu yako ya mezani afu anauliza "uko wapi?" ..... _"niko kanisani naombewa_"*
*4. Wanakuona umelowa ukitokea bafuni wanakuuliza "umetoka kuoga?"* ..... *_"hapana nimeanguka kwenye bakuli la choo"_*
*5. Umemnunulia mkeo maua anakuuliza "hayo ni maua?"* ..... *_"hapana mke wangu ni karoti"_*
*6. Uko kwenye foleni yakulipia tiketi ya kuingia uwanjani kucheki mpira, rafiki yako anakuuliza "Na wewe unaenda kuangalia mpira?"*...... *_"Hapana nimekuja kulipa ada ya shule"_*.
*7. Umesimama nje ya lift kwenye ground floor, kisha unaulizwa "Unapanda juu?" .....*
*_"Hapana ninasubiri chumba changu kije kinichukue hapa chini"_*.
USIPENDE UJINGA BHANA[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]