Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hakuna Jambo Linauma Rohoni Kma Kwenda Kwenye *Harusi* Ukakuta Shati Lako Ndo *Uniform Ya Wahudumu, Unasimamishwa Na Mwenye Kiti Wa Kamati Na Anakufokea Kabisa "Kwanini uhudumii watu?" Watu Wakiishiwa *Vinywaji* Wanakutazama Wewe Tena Kwa *Hasira* .. Utatamani Ukae choon had mwisho wa harusi [emoji3][emoji124][emoji124]
 
Vichaa walikua wanasafirishwa kwenye gari, sasa kadiri gari ilivyokua inaenda speed kichaa mmoja akawaambia wenzake, angalieni miti inakimbia kuliko gari,

Kichaa mmoja akajibu, wakati wa kurudi tupande miti
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
ad0230d40a9b921ec84628686e40d82e.jpg
 
Leo baada ya kutoka kufanya usafi KANISANI, Pastor akaona simu yangu niliyonunua LAKI 5,akaniuliza hiyo simu umenunua Bei gani?
Kwakuwa natoaga sadaka kidogo,na ZAKA ndo sijawahi kutoa,Nikamjibu nimenunua JANA,ELFU 50, akanipa LAKI MOJA,nikanunue mbili,yake na ya mke wake. Sa najaribu kumuuliza Mungu,kwanini kaamua kuniadhibu mbele ya mchungaji bila hata kunionya!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nenda dukan then urud umwambie zimepanda bei
 
JAMAA ALIMPENDA BINTI WA KILOKOLE JINSI YA
KUMWINGIA IKAWA NGUMU AKAAMUA ASOME
VIFUNGU VINGI VYA BIBLIA ILI AMKAMATE
KIRAHISI MAZUNGUMZO YAO YALIKUWA HIVI::
Mwanaume: sister mambo
Sister: mambo kwa yesu
Mwanume: Sister samahani . . . unampenzi?
Sister: hapana sihitaji mpenzi!
Mwanaume: mwanzo 2:18 mungu akasema sio
vema mwanaume akabaki peke yake nitamfanyia
msaidizi.
Sister: Lakini Mimi sikupendi . . . .. . nampenda yesu!
Mwanaume :1yohana 4:20 MTU akisema
anampenda mungu naye humchukia ndugu yake ni
mwongo kwamaana asiyempenda ndugu yake
amwonaye atampendaje mungu asiyemwona?
Sister: Nitaaminije kwamba maneno yako uongeayo
ni kweli
Mwanaume: mathayo 12:34-36mtu mwema katka
akiba njema ya moyo wake hutoa mema na MTU
mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya
Ila mimi Kinywa changu huongea maneno
yaliyoujaza moyo wangu
Sister:: nitaaminije hayo uongeayo ni kweli?
Mwanaume:: Marko 13:41 mbingu na nchi zitapita
lakini maneno yangu hayatapita kamwe
Sister:: mbona wako wako wanawake wengi sana
kwanini umeniambia Mimi tu??
Mwanaume:: mithali 31:29 binti za watu wengi
wamefanya mema lakini wewe umewapita wote!
Sister:: ni nini kilichokufanya unipende mimi na si
wengne nimekuvutia nini ?
Mwanaume ::wimbo bora 4:7 uu mzuri sana ndani
yako Hamna hila
Sister::: ni kweli? Mimi sio mzur wa kupendwa na
wewe !!
Mwanaume::::mithali 31:30 upendeleo hudanganya
na uzur ni ubatili Bali mwanamke amchae bwana
ndiye atakaye sifiwa
Sister ::: ni nini kitatokea nikikubali na kusema ndio!
Mwanaume ::: mwanzo 2:4 mwanaume atawaacha
wazazi baba na mama ataambatana na mkewe na
hao wawili hawatakuwa wawili tens Bali mwili
mmoja.
Sister ::imekuwaje unajua sana maandiko utafikir
mchungaji
Mwanaume :: Joshua 1:8 kitabu hiki cha torati
kisiondoke kinywani mwenu Bali yatafakali maneno
yangu mchana na usiku ndipo utakapo zifanikisha
njia zako
Sister :: yaah!! Nakuona unampenda sana mungu
Mwanaume:: zabur 34:8 onjeni mwone kuwa bwana
ni mwema heri MTU yule anayemtumainia
Sister. ::mmmh bas nipe muda nifikirie kuhusiana na
hili
Mwanaume ::: wafilip 4:8 hatimaye mambo yeyote
yaliyo kweli ya staa ya haki yenye kupendeza yenye
sifa njema na wema wowote yatafakalini hayo
Sister ::: nimekubali nakupenda nami pia
Mwanaume :: ufunuo 22:21 Amen
RESPECT BOY...!!
 
Mtoto wa kiume alikuwa anakoga na baba yake sasa mambo ya tiles haya na kitoto kitundu kinaruka ruka bafuni mara kikateleza sasa katika heka heka ya kujinusuru kisianguke kikajikuta kimeshika mpini wa baba yake so hakikuanguka basi mdingi kwa upole kakinyanyua na kukiambia "una bahati sana sijui ungekuwa unakoga na mama yako sijui ungeshika wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiii
 
Padri m1 alipotea mjini akamuuliza kijana m1 ;naomba unifahamishe wapi ilipo posta kijana akamfahamisha mpaka akakujua posta,padri akamjibu asante kwa kunionyesha njia ya na WEWE njoo kanisani nikuonyeshe njia ya peponi .Kijana akaguna akamjibu imekushinda ya posta sembuse ya peponi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamaa yangu alinipigia simu
JAMAA: matokeo yametoka twende tukayaangalie
MIMI: nipo na mzee siwezi nenda kaniangalizie, ukikuta nimefeli somo moja niandikie 'nakusalimia' na ukikuta nimefeli masomo mawili andika 'nakusalimia' wewe na mzee wako..

Baada ya mda sms ikaingia 'nakusalimia wewe, baba yako, mama yako, familia yenu yote pamoja na majirani zenu wote'

Hapa naona mawenge, nadhani zile bhangi nilizovuta kitambo zinafanya kazi sasa..
 
UJUE katka [HASHTAG]#MAISHA[/HASHTAG] vitu [HASHTAG]#VIDOGOVIDOGO[/HASHTAG] ndivyo [HASHTAG]#VINAUMIZA[/HASHTAG] sana kama unabisha kalia [HASHTAG]#SINDANO[/HASHTAG] na [HASHTAG]#mwenzako[/HASHTAG] akalie [HASHTAG]#GOGO[/HASHTAG] ndo utajua
 
*Nimepata sms kutoka kwa dem jirani very sexy.*
Hi, Venshady? "I nid ur dic 4 ma ass plz,"

*mie na kiherehere yangu nkajibu haraka,*
``hi 2 dear....... nkam na condoms?''

*Akareply,*
Gosh!! condoms za nn nmekwabia _``i need your dictionary for my assignment"_

*_Ata sjareply nakwaruzakwaruza kichwa tu hapa[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂_*
[Emoji23][emoji23]
 
Teknolojia ya motokali ilikuwa haijaingia kijijini hapo palikuwa na bingwa wa pikipiki pale sasa siku moja jioni kabeba mkewe akaona mbele pana taa mbili zinakuja akamwambia mkewe ngoja niwaonyeshe kuwa mimi ndio bingwa wao napita katikati yao loh kumbe lilikuwa ni scania ndio mara ya kwanza limekuja kuchukua mazao.
 
```CHUKUA HII NA UIELEWE ZAIDI.
SISI MANCHESTER UNITED WATANI ZETU NI LIVERPOOL NA ARSENAL TU.
HAO WENGINE WANAWEZA KUTANIANA NA ASTON VILLA NA AKINA LEICESTER MAANA KAMA NI UBINGWA PIA WANAO.
HUWA NAFURAHI SANA TUKITANIWA NA LIVER NA ARSENAL SIO WENGINE.
KIFUPI WAACHE KUJIPENDEKEZA KULAZIMISHA UTANI NA SISI```?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sh*bo haututaki [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom