Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3]![]()
Mwezi umeonekana Manzese[emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]jana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
HahahahahahahahaNmekutana gari yenye plate number PT nikaomba wanipatie pregnant test saivi tunaelekea stakishali nadhan ni kwenye maduka yao
shkamo mkuuKinacho nifurahisha kuhusu hii thikukuu, utasikia hata wanaume wanasema
*Nimeuona Mwezi*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimeipenda makinikiaMAANDALIZI YA EID
Zijue aina kuu 3 za pilau
1. Pilau Mjazo
Hii ni aina ya pilau ambayo ina nyama nyingi.
2. Pilau Makinikia
Aina hii ya pilau, nyama ni za kutafuta, hazionekani juu mpaka uunde tume.
3. Pilau Mfuto
Pilau hii huwa haina nyama, sanasana utaambulia viazi
[emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibu Eid,ntaandaa aina hii mpya ya pilau!
Usisahau kuja na tume...
ha ha ha kweli hujawah vuta bangi bali umekula bangi....kurudi na blood bag khaaLeo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wala sijawahi vutaga bangi Mimi