Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake nzuri.

Bila wasiwasi yule binti akamfuata mwanaume yule na Kumwambia; "Hey awww you look handsome...i like you"

Yule mwanaume akiwa na wasiwasi fulani akashusha kioo cha gari kidogo kumwambia yule binti; "Mdogo wangu, mapenzi siyo kitu kizuri kwako kwa wakati huu, nakuona umetoka chuo bila shaka, wewe bado ni msichana mdogo kuwa na tabia kama hii.

Tafadhali sana nenda nyumbani au sijui Hosteli na usome kwa bidii, wachana na mapenzi soma ili uje ufanikiwe katika maisha."

Baada ya kusema hayo, Yule mwanaume akatoa note book yake na kuanza kuandika huku akisema; "Nakuandikia hapa baadhi ya maneno ya busara na muongozo katika maisha yako. Hutakiwi kuwa cheap kiasi hiki mdogo wangu. Nakuomba sana ukasome haya kabla ya kulala"

Akampa ile karatasi na kufunga kioo cha gari mpaka juu. Yule msichana alirudi Hosteli kwa aibu kubwa na usiku kabla ya kulala akafungua ile karatasi ili aisome.

Karatasi ilisomeka hivi;
"Wewe kipofu nini? Humuoni Mke wangu yupo kwenye kiti cha abiria amekilaza amelala? Hii ni namba yangu nipigie muda wowote isipokuwa asubuhi sana na usiku. Hata hivyo na mimi
nimekupenda sana. Bila shaka hautaniangusha."

WANAUME NA AKILI ZAO ZA MWENDOKASI
 
c242e7fe5277b4ad06facb0b565ca111.jpg

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu you made my day

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake nzuri.

Bila wasiwasi yule binti akamfuata mwanaume yule na Kumwambia; "Hey awww you look handsome...i like you"

Yule mwanaume akiwa na wasiwasi fulani akashusha kioo cha gari kidogo kumwambia yule binti; "Mdogo wangu, mapenzi siyo kitu kizuri kwako kwa wakati huu, nakuona umetoka chuo bila shaka, wewe bado ni msichana mdogo kuwa na tabia kama hii.

Tafadhali sana nenda nyumbani au sijui Hosteli na usome kwa bidii, wachana na mapenzi soma ili uje ufanikiwe katika maisha."

Baada ya kusema hayo, Yule mwanaume akatoa note book yake na kuanza kuandika huku akisema; "Nakuandikia hapa baadhi ya maneno ya busara na muongozo katika maisha yako. Hutakiwi kuwa cheap kiasi hiki mdogo wangu. Nakuomba sana ukasome haya kabla ya kulala"

Akampa ile karatasi na kufunga kioo cha gari mpaka juu. Yule msichana alirudi Hosteli kwa aibu kubwa na usiku kabla ya kulala akafungua ile karatasi ili aisome.

Karatasi ilisomeka hivi;
"Wewe kipofu nini? Humuoni Mke wangu yupo kwenye kiti cha abiria amekilaza amelala? Hii ni namba yangu nipigie muda wowote isipokuwa asubuhi sana na usiku. Hata hivyo na mimi
nimekupenda sana. Bila shaka hautaniangusha."

WANAUME NA AKILI ZAO ZA MWENDOKASI
Popote tulipo wanaume mikono juu tafadhali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Akili zetu zinatutosha wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
.......Utafiti Unaonesha Yule Mwanaume Alieanzisha Msemo Wa "Ladies First"
Hana Lolote.
Alitaka Tu Mwanamke Atangulie Ili Amuangalie Makalio...[emoji23][emoji23][emoji23]

Mtafiti Nimeamka[emoji23]

Alikua anataka akijamba isijulikane . Wanaume hatupendi aibu ndogondogo.
 
Hivi ikitokea ndani ya week 6 umejichanganya kusema bila baba mkwe na yeye akakosa kuonekana mahabusu kujileta mbele ndio mvua ilipoanza kunyesha

Sio lazima uelewe kila kitu

Utarudia kusoma hata Mara mia
Nimeisoma sana, mara ya 10 ndio nikachek mistari ya mwisho, Loooh!!!!

-mikononyuma-
 
Zaitun anatoka kuoga akiwa na kanga moja tu anaskia hodi, kufungua mlango akakuta ni jirani yake Fabian ambaye ni kipofu, akamkaribisha ndani akakaa, zaituni kavua ile kanga akabaki uchi akaanza kujipaka mafuta akijua Fabi hamuoni na mazungumzo yakawa ni Haya..

Zai : VIPI Fabi MBONA UMEPOTEA YAANI
HUONEKANI SIKU HIZI..?
Fabian: AH NILIENDA INDIA KUFANYIWA
OPERESHENI YA MACHO SASA HIVI NAONA VIZURI KABISA!...
 
Hahaha

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Kuhakikisha kwamba hewa ninayovuta ndio anavuta Rooney nilienda pale Sea Cliff nikavuta hewa ndeeeeeefu halafu nikaipumulia kwenye maua nikajua tu ikichanganyika na ya maua Rooney lazima aivute na yeye.
 
Simu na password!

Jamaa;mke wangu naumwa sana mpigie anko aje anipeleke hospital
Mke;simu yangu haina salio nitajie password ya simu yako nimpigie
Jamaa; basi acha tu kila nafsi itaonja mauti.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom