banned do
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 574
- 506
1. Mpige mtoto wa kitanzania
2. Mbembeleze kwa biskuti
3. Muulize nani kakupiga??
Atamtaja mtu mwingine...
Hii ndo jinsi rushwa ilivyoanza Tanzania..
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Mpige mtoto wa kitanzania
2. Mbembeleze kwa biskuti
3. Muulize nani kakupiga??
Atamtaja mtu mwingine...
Hii ndo jinsi rushwa ilivyoanza Tanzania..
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kosa lako ni kwamba unawaringishia hela zako"Count your money before you leave the counter "sasa nipo hapa penye ATM nimemaliza kutoa pesa na kuikumbuka kauli hiyo hapo juu na pana foleni ndefu kiasi hapa nazozona na jamaa wananiambia nikae pembeni sasa kosa langu ni lipi jamani?
Duh! mimi nilidhani sio utaratibu kumbe kosa ni kusikia zinatoka tarararah badala ya tar unajua huyo katoa elfu kumi tu.
Nimeisoma mara saba sijapata kitumbona stori yako sijailewa [emoji20] [emoji20] [emoji20]
sijui kwanini naona haifurahishiIkiwa yapata nusu saa tokea kupaa kwake ndege moja iliyobeba abiria zaidi ya 200
..ikasikika sauti tokea kwa rubani ikisema "injini moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ni wakati wa kufanya maombi kwani muda sio mrefu ndege hii inaanguka,tumieni nafasi hii kuombana msamaha ili mfike mbinguni salama."
Abiria wakaogopa sana na ukimya na hofu vikatawala.
David na Grace walikuwa miongoni mwa abiria wa ndege ile..
Grace: mume wangu nisamehe Aidan sio mwanao ni mtoto wa yule mlinzi,na hata kipindi umetekwa wakati umefuata pesa benki ilikuwa ni mpango wangu ili nipate pesa ya ada ya boyfriend wangu chuo kikuu.
David:wala usijali mamy,unisamehe pia kwa kuwa nishatembea na wadogo zako karibia wote kibaya zaidi yule mtoto wa mwisho wa mdogo wako Angel ni wangu japo mume wa Angel huwa anadhani anafanana na mwanenu Anita kwa sababu ni watoto wa Mama mkubwa na mdogo.
Basi watu wakawa bize kwelikweli kuombana msamaha na kusali. Ghafla ikasikika sauti ikisema
"Asante kwa maombi yenu hali ya ndege imetengamaa na tutafika salama"[emoji2][emoji2]
Watu wote "aaaaahhhh we rubani mjinga nini usitutanie sisi, we si umesema hii ndege inaanguka sasa iweje unageuza kauli ghafla?? tunasema ndege lazima ianguke hiii haiwezekani,kama imekushinda tunaiangusha wenyeweee[emoji35][emoji35][emoji35]
"Ideas are easy but Implementation is hard."
Wanaume wa dar tunaringia machine tu, acha hao wa tanga wasmamishe msafara, sisi tunasmamisha MASHINE
Hahahaaaa tatizo hawataki kuzungusha pesa aseee wakiliwa nahic ilo Kampuni kama lipo bongo watalifungiaHivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapata mikopo vyuo vikuu
tatzo bodi ya mkopo sio wabunifu