Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mabinti mna nini!?mbona mmetuandama hivyo?View attachment 606090[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaa.Ndo sumu*Jana nlienda kuazima pasi kwenye room ya jiran yangu ili ninyooshe nguo zangu, jamaa wakasema nikanyooshe kule kule pasi yao haitok nje! nikaenda kunyoosha!*
*Leo amekuja mmoja wao kuazima mopa ili akapige deki, nimemwambia aje apigie humuhumu maana mopa yangu haitok nje!*
*Ameondoka kmya kmya, nadhan ameenda kuchukua maji!*
HahaaaaOhoo![emoji15] [emoji15]
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji13]Nyie mabinti mna nini!?mbona mmetuandama hivyo?
Alafu ww unaniona au?Waweza kukuta mtu ana nguo chache lakini hazichakai ukamsifia kwa utunzaji kumbe siri yake muda mwingi ana utumia akiwa hana nguo.
Nawe ni mmoja wapo?Alafu ww unaniona au?