Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa wewe unataka makofi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni full burudani!
Ukivisomo mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza?
Yaani had sasa
bado najiuliza nilipokosea.
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!! [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
I think nakaribia kupona
Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. [emoji19]Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..
Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm[emoji57][emoji57][emoji57]
I swear japo sina stress ila mtaniua maana nilichagua kuja kuusoma huu uzi ili nijiburudishe sasa nacheka kwa nguvu kama kichaaLeo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wala sijawahi vutaga bangi Mimi
Ha ha haaaHuu ndo ule mwezi ambao mtu akienda bar anaagiza mirinda nyeusi anakunywa alafu anajizungusha kwenye kiti mpaka analewa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wa ItvvvvvvvUTANGAZAJI!!
*Ulaya*: I am Kevin Byant,CNN.
*Tanzania*: Mimi ni Jooooooooji Maratoooooo Ai ti viiii Maraaaaaaaaaaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu hii [emoji121] imenichekesha hatari sana [emoji1] [emoji1]Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha..!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
wala sijawahi vutaga bangi Mimi
hahaaaa manina ..hii bastola itabidi niirejeshe lugaloStress ni nini
Stress ni pale upo kuelekea kazini kwa bahati mrembo anakuomba lift
na bahati mbaya hali yake inabadilika unamkimbiza hospital, baada ya muda doctor anatoka anakwambia hongera, unajiuliza hongera ya nini ana kwambia mkeo ana mimba una tahamaki na kumwambia doctor huyu sio mke wangu lakini kale kadada kwa sauti ya nyororo kanamwambia doctor ni mimba yake, unapanic doctor anakwambia hebu njoo nikupime baada ya mida doctor anatoka anakwambia ni kweli mimba sio yako unashusha pumzi lakini anakwambia nilivyokupima nimegundua huna uwezo wa kudharisha unapatwa na mshitiko na kupata na big stress na kufikiria kama sina uwezo wa kudharisha wale watoto watatu nilio nao ni wa nani.!!?
hahaaaaaa aiseee wewe Jamaa nimekufuatilia akili zako ninusu kilo aiseeeHahaha, huu mwezi wa valentine una maneno..!
Girl: My love namis kula kuku
Boy: Kwani wewe ni mwewe?
hahaaaaaa bwahaaaaaa aiseeeee huku panaweza kukufnya uonekane chizi...daahhh nimecheka mnoooo watu Nusura wanifunge kamba*Tulikua kwenye basi tunaelekea arusha, ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari,* *nikaenda kumziba macho nikamuuliza* otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
na sasa hivi nimezinduka naona abiria wote tupo wodi namba 3 hapa KCMC Moshi nafkiri stendi imehamishiwa huku sikuizi.
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
*Akili zangu nazijua mwenyewe!!!*
haahhaaaaa my ribs ...OMG DAHHHHH HAHAAAAAsiku ya valentine day hua napenda kutumia muda wangu kuwaangalia mademu wafupi waliovaa red dresses maana hua nawafananisha na kimtungi cha ORYX
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]