hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
haaaaahhaaInaweza kuwa typing error mkuu si unajua mambo ya autocorrect jamaa alimtumia bosi wake bado umelalwa kilicho mpata mpaka Leo bado anatembea name bahasha ya kaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaahhaaInaweza kuwa typing error mkuu si unajua mambo ya autocorrect jamaa alimtumia bosi wake bado umelalwa kilicho mpata mpaka Leo bado anatembea name bahasha ya kaki
hahaaaaaaa sihami jf manina daaahhh nimecheka mnooo*Mdukuzi:* _halloo massai
*Massai:* _safi rafiki_
*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya
kujibu?_
*Massai:* _ulisa acha maneno yako._
*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa
porini
*Massai:* _swala watatu na tembo saba
hahaaaaa daaahh MBAVU zangu wallahLeo nimeenda mahakamani, mara judge
akasema..
Order! Order...
Mimi na kiherehere changu nikasema..
Chapati .. Maziwa na ovacado tatu ...
Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..
i think wananiandalia chapati
hahaaaa hakimu hakukaukiwa na kicheko daahh nahisi baraza zima lilicheka mpka basi
hahaaaa daaahh salute mkuu maana umejua kunivunja MBAVU aiseeDaah, hebu fanya hako kamchakato mkuu, maana nina kiu hatari!! na huu mkasa wa jana tena daah, yaani ilikuwa hivi;
Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela ya kula Jana sikuanayo alichoka nami nikachoka maana tulipekua kweli kweli; ikabidi nimuulize "una uhakika uliweka humu?" Akashangaa akabaki mdomo wazi!
[emoji15][emoji15][emoji15]
hahaaa hili bango bado lipo daahh ..nawahusika wameliruhusu libandikwe kweli ??!!Karibuni Urambo Tabora tulipe Kodi
kwa Pamoja Kodi ya "Tanzania REVENGE Authority" [emoji113][emoji113]
![]()
hahaaaaaaa*Jamaa usiku kucha "anajamba".! hovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu...! mara pyeeh..! Mara tata taa...! Mara buuu...!*
*Mkewe akamuuliza una nini leo ?*
*Akajibu nasikiliza ringtones za matako yangu..! maana kuna zingine nataka kuz delete..*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23]
*Pumbavu KABISA*
Kweli wana revenge, walitakiwa waandike hivyo mana makato yao sio mchezohahaaa hili bango bado lipo daahh ..nawahusika wameliruhusu libandikwe kweli ??!!
hahaaaa jicho lako limeona mbali mkuuKweli wana revenge, walitakiwa waandike hivyo mana makato yao sio mchezo
Hahahaha mkuu kuwa na mwenza ni muhimuhahaaaaaaa sihami jf manina daaahhh nimecheka mnooo
kumbe ndio maana tulio single hatuoni umuhimu wakuwa kwenye mahusiano kwa sasa maana kama wacheka Hivi daahh kipi sasa kitakchokupasua akili
nikweli mnoo mkuu ..but kwaupnde wangu kwa sasa CPO tayri kuacha kutokuwa singleHahahaha mkuu kuwa na mwenza ni muhimu
[emoji23]*KIVULI BHANA*
*Yaani mimi nipo kwenye kibanda nanunua MCHICHA lakini chenyewe kimesimama BUCHANI*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ubongo Sukuma akili na Sio Vingine
.....Ha haaaaa nimecheka wallahMtangazaji Wa mpira Wa kizungu akiwa anatangaza
Mtangazaji: now is Eden hazard with a ball to willian willian back to cante cante look for morata
Mtangazaji wakibongo sasa:
Naam anakwenda pale kichuya kichuya anapaka rangi mpira pale huyu kichuya alizaliwa mwaka 1990 katika kijiji cha mtogore ndanindani kule ni mtani wangu sana huyu anakwenda pale okwi huyu okwi alizaliwa nchini Uganda na ni nyota Wa team ya taifa ya Uganda the cranes anakwenda pale john bocco huyu ni mchezaji Wa zamani Wa azam fc ni mkongwe sana huyu ana urefu Wa futi saba ni mweusi afu mwembamba![]()
watangazaji wetu Sijui huu uchuro wanautoaga wapi?![]()