Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Mdukuzi:* _halloo massai
*Massai:* _safi rafiki_
*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya
kujibu?_
*Massai:* _ulisa acha maneno yako._
*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa
porini
*Massai:* _swala watatu na tembo saba
hahaaaaaaa sihami jf manina daaahhh nimecheka mnooo
kumbe ndio maana tulio single hatuoni umuhimu wakuwa kwenye mahusiano kwa sasa maana kama wacheka Hivi daahh kipi sasa kitakchokupasua akili
 
Leo nimeenda mahakamani, mara judge
akasema..
Order! Order...
Mimi na kiherehere changu nikasema..
Chapati .. Maziwa na ovacado tatu ...
Nimewekwa kwa karoom kengine hapa kanagiza..
i think wananiandalia chapati
hahaaaaa daaahh MBAVU zangu wallah
 
fe6bb27f9b0ce4ed18e8e6e66acd65f1.jpg
hahaaaa hakimu hakukaukiwa na kicheko daahh nahisi baraza zima lilicheka mpka basi
 
Daah, hebu fanya hako kamchakato mkuu, maana nina kiu hatari!! na huu mkasa wa jana tena daah, yaani ilikuwa hivi;

Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi na mimi niamke; nikamuuliza anatafuta nini akanijibu HELA ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hata hela ya kula Jana sikuanayo alichoka nami nikachoka maana tulipekua kweli kweli; ikabidi nimuulize "una uhakika uliweka humu?" Akashangaa akabaki mdomo wazi!

[emoji15][emoji15][emoji15]
hahaaaa daaahh salute mkuu maana umejua kunivunja MBAVU aisee
 
*Jamaa usiku kucha "anajamba".! hovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu...! mara pyeeh..! Mara tata taa...! Mara buuu...!*
*Mkewe akamuuliza una nini leo ?*
*Akajibu nasikiliza ringtones za matako yangu..! maana kuna zingine nataka kuz delete..*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],[emoji23][emoji23][emoji23]
*Pumbavu KABISA*
hahaaaaaaa
 
hahaaaaaaa sihami jf manina daaahhh nimecheka mnooo
kumbe ndio maana tulio single hatuoni umuhimu wakuwa kwenye mahusiano kwa sasa maana kama wacheka Hivi daahh kipi sasa kitakchokupasua akili
Hahahaha mkuu kuwa na mwenza ni muhimu
 
Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
 
Watu wazima tuwe na mipaka ya kula vitu visivyo vya lazma...[emoji39][emoji39]

Sikia hii...:Baba baada ya kumaliza kuchinja Mbuzi akaenda kuchoma pumbu za Mbuzi jikoni..Mara Mbwa akachukua Pumbu...Watoto kwa sauti kubwa"Babaaa!" Mbwa kachukua pumbu zako...! Wakaanza kumfukuza acha Pumbu za Baba...Mbwa huyoooo…! kachukua Pumbu za Baba,...wewe rudisha Pumbu za Babaaaa! We acha Pumbu za Baba...Pumbu za Baba.. yaani mtaa mzima watu mshangao...Pumbu za Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usicheke yangekukuta wewe ungejifungia ndani mwezi mzima...
 
*KIVULI BHANA*
*Yaani mimi nipo kwenye kibanda nanunua MCHICHA lakini chenyewe kimesimama BUCHANI*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ubongo Sukuma akili na Sio Vingine
[emoji23]
 
*USICHEZE NA WAHAYA KABISA*

KUNA MUHAYA ALISIMAMISHWA NA TRAFIKI:

*MHAYA:* UNASEMAJE BWANA MDOGO??”

*TRAFIKI:* KWA NINI UNAENDESHA GARI UKIWA HUJAFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME GARI, SEMA RANGE ROVER.

*TRAFIKI:* SAWA KWA NINI UNAENDESHA HII RANGE ROVER BILA KUFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME RANGE ROVER TU; SEMA RANGE ROVER YA MWAKA 2017.

*MHAYA:* HII NI NEW MODEL YA KISASA KABISA, MKANDA WAKE NI WIRE LESS HUWEZI KUUONA.

*TRAFIKI:* SAFARI NJEMA KIONGOZI!

Chezea Wahaya wewe!
263a.png
 
Mtangazaji Wa mpira Wa kizungu akiwa anatangaza

Mtangazaji: now is Eden hazard with a ball to willian willian back to cante cante look for morata

Mtangazaji wakibongo sasa:

Naam anakwenda pale kichuya kichuya anapaka rangi mpira pale huyu kichuya alizaliwa mwaka 1990 katika kijiji cha mtogore ndanindani kule ni mtani wangu sana huyu anakwenda pale okwi huyu okwi alizaliwa nchini Uganda na ni nyota Wa team ya taifa ya Uganda the cranes anakwenda pale john bocco huyu ni mchezaji Wa zamani Wa azam fc ni mkongwe sana huyu ana urefu Wa futi saba ni mweusi afu mwembamba
1f923.png
1f923.png
1f923.png
watangazaji wetu Sijui huu uchuro wanautoaga wapi?
 
.....Ha haaaaa nimecheka wallah
 
Back
Top Bottom