ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Mwanaume asie na ndevu halafu anyoe kipara kichwa kinakua kama kiazi mviringo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza zako sasaWatu wako kimya humu badae utasikia ooh mvua nilikua na shemeji yenu
Kumbe anatoa maji ya mvua ndani
Sana mzeeAisee
Noma sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana ni kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]_*Kichaa baada ya kukuta folen kubwa ya maji,akawadanganya wa mama,yaani nyie mmekalia foleni ya maji wenzenu wanagawana nyama kuna gali limegonga ng'ombe kumi[emoji23][emoji23][emoji23]wamama wote mbio[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]kwenda kwenye nyama,walipotoka akachota ndoo moja,nae akatoka mbio kwenda kwenye nyama akisema inawezekana ni kweli[emoji1322][emoji1322]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nadhani kasuku alichoka kudanganyaDada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.
mambo yakawa hivi:
DADA: Nimekuja kununua kasuku.
MMILIKI: Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?
DADA: Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.
(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)
DADA: Naonekanaje?
KASUKU: Unaonekana kama kahaba.
DADA: "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"
MMILIKI: Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.
". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"
MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
DADA: Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
KASUKU: Mume wako!
DADA: Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
KASUKU: Mume wako & shemeji yako.
DADA: Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
KASUKU: Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
DADA: Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
KASUKU: (Akageuka nyuma akamwangalia miliki wake ) . . . . kisha akasema "Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2]DUNIANI USIMWAMINI MTU,NIMESHANGAA KUKUTA OFISI ZA TANESCO KUNA GENERETA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah Jf hii noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TUSIPOANGALIA HUYU BASHITE ANAWEZA KUJIITA Paul PoGbA wamdhibiti Mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawaza umesimamia niniKwa huhu uzi nimenyanyua mikono na miguu juu
[emoji23] [emoji23] [emoji119]Dada mmoja alikwenda kwenye duka la wanyama kununua kasuku.
mambo yakawa hivi:
DADA: Nimekuja kununua kasuku.
MMILIKI: Nina aina mbili ya kasuku aina ya kwanza anarudia kila kitu unachozungumza na aina ya pili anafikiria mwenyewe kisha anazungumza"
Je ww unamtaka yupi?
DADA: Nadhani namtaka anayefikiria mwenyewe.
(MMILIKI akamletea dada kasuku kulingana na alivochagua kisha akaambiwa amfanyie majaribio.)
DADA: Naonekanaje?
KASUKU: Unaonekana kama kahaba.
DADA: "...kwa hasira..." "Siwezi kununua kasuku kama huyu! Hana adabu!"
MMILIKI: Samahani dada naomba unisubili kidogo.....(akampeleka kasuku nyuma ya duka na kumzamisha kwenye ndoo ya maji kisha akamuonya, "kama ukirudia tena kumkosea adabu yule dada ntakuja nikuloweke kwenye maji siku nzima.
". MMILIKI aliporudi kaunta akamuomba dada amjaribishe kasuku kwa mara nyingine na akamsihi akisema ".kwa sasa unaweza kumuuliza chochote naamini atakujibu vizuri bila matatizo yoyote"
MAJIBIZANO YAKAWA KAMA HIVI:
DADA: Kama nikirudi nyumbani usiku wa manane na nikaja na mwanaume huyo mwanaume atakuwa ni nani?
KASUKU: Mume wako!
DADA: Vizuri! vipi kama nikija na wanaume wawili?
KASUKU: Mume wako & shemeji yako.
DADA: Vzuri! Vizuri sana" kama nikija na wanaume watatu je?
KASUKU: Atakuwa ni mume wako,shemeji yako na kaka yako!
DADA: Waooooooo!!! Vipi kama nikija nyumbani na wanaume wanne?
KASUKU: (Akageuka nyuma akamwangalia miliki wake ) . . . . kisha akasema "Tafadhali kaniloweke kwenye maji, nilishasema mapema kwamba huyu mwanamke ni kahaba!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahaaa hapa mtaan kwetu pia siwaoni. Yawezekana kweli.Jamaa aliuliza” Hapa mjini vichaa wote wamepotelea wapi”?
Akajibiwa “Kwajinsi hali ilivyokua ngumu,Akili zao zimerudi zenyewe”
[emoji3][emoji3]
Mkuu nimepaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan vidada vya sikuizi kwa kudeka!! Naimagine ingekua ndo Musa aliambiwa avuke bahari ya sham na vidada vya type hii lazma tu vingemchelewesha
Vikianza kupiga Selfie zao utasikia "chilling with Musa" "in the middle of the sea* [emoji23][emoji23]
Nawaza umesimamia nini