Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*Nilimuomba Mwanamke anipige busu kwenye simu akanitumia hii emoji [emoji8], na yeye akaniomba nimtumie pesa kwenye simu nikamtumia hii [emoji385][emoji383], kanimind eti sipo serious, sasa nani alieanza kuzingua hapo?*
*_Kafanya ujinga mimi nikafanya upumbavu._* [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Magroup raha sana unapata namba ya mwanamke bila kuomba [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]tunahangaikaga sana kuomba namba lkn kwenye group zenyewe zinajileta, na wala uhulizwi umetoa wapi namba,shikamoo group [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]*
 
*MJAZO DAY+*
*Jaza form kwa kutumia neno (zi ) naamka asubuhi nina usingi....? nakunywa chai na maanda....? Kwa mchu....? wa na....? na ndi....? ninae soma sms hii mimi ni chi....? pia mshen....? niliekosa ra....? za waza....? na nakaa mwaka mzima sinyowi mavu....? sababu naona ka....?kwenda dukan kununua topa.....,,!Aaah!Best unajaza kweli,du kweli wewe chi.....?najua 2 utalipiza ukishaisoma hii sms naomba uwatumie mach.....?.*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣
 
*Wanaume ni wapishi[emoji1465]‍[emoji505] wazuri tu katika jamii..... Hivi fikiria [emoji848]*

*Mayai mawili 🥚🥚....Ndizi moja [emoji529] ...na Maziwa kwa mbalii🥛......Inawafanya wanawake wahangaike miezi tisa🤰🏽......Anaye bishana na upishi huu anione [emoji395] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]*
 
Jamaa karudi kutoka Kanisani kufika nyumbani akaanza kumbeba Mkewe juu juu hadi Mke wake akawa ana furahi... Mkewe akamuuliza Mume wangu leo unanibeba juu juu na si kawaida kulikoni? Mume akamwambia Mchungaji kasema kuanzia leo tunyanyue Matatizo yetu juu
 
A girl realized that she had grown hair between her legs. She got worried and asked her mom about that hair. Her mom calmly said: "That part where the hair has grown is called Monkey, be proud that your monkey has grown hair." the girl smiled. At dinner, she told her sister: "My monkey has grown hair." Her sister smiled and said: "That’s nothing, mine is already eating bananas."
 
Back
Top Bottom