Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Watu wana hasira sana hawa!
20190131_201000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH 😂😂😂 Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
 
Hivi matokeo gani ukisubir yanaumiza kuliko yote. 1 matokeo ya kidato cha nne na sita 2.matokeo ya virusi vya ukimwi. 3 matokeo ya kumtongoza demu ukiwa unasubir majibu 4 matokeo ya kazi ukiwa umeomba?
 
VICHWA VITATU VIMEKUTWA KWENYE BEGI.. >> hiyo imetokea leo maeneo ya arusha wasichana wawili waliokuwa wako kwenye basi walikuwa wamebeba mabegi mawili yaliyokuwa yana vichwa vitatu. wasichana hao walikuwa wakitoka mwanza kwenda arusha. baada ya kuanza safari harufu ilizidi kwenye lile basi! dereva alipowaona asikari mbele yake aliamua kusimamisha gari ili mabegi yao yasachiwe. lakini wale wasichana waliongea na maasikari wakatoa dola 2000 wakapita bila kusachiwa. walipofika arusha dereva aliwaita maasikari wale wasichana wakakamatwa,, yale mabegi yao yaliposachiwa wakayakuta yana vichwa vitatu. walipovifanyia uchunguzi kila kichwa waligundua kulikuwa na kichwa cha IPHONE CHAGER kichwa cha SUMSANG CHAGER na kichwa cha ITEL CHAGER.. asante kwa kusoma habari yote. kama umechukia njoo tupigane! asante unaweza kuendelea na kazi ulokuwa unafanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais wa china amesema yafuatayo “shai choi ting yang teng wong feng deng jun tik ti wang jung jung fingi ling" hata mimi nakubaliana nae kwa kua ni kwa faida yetu wote😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fikiria unatembea ucku pekee yako😫unamuona mtu yupo mbele yako anatembea unaamua umkimbilie ili muongozane sababu mitaa ile inatisha sana😔* unamfikia mnaongozana unackia anakwambia "hapa ndo ile sehemu niliyouwawa ga"😳😳😳😳😳😳😳[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Utajuaje kama kadada kamenunua wigi jipya? 👩🏿👩🏿👩🏿👩🏿👩🏿👩🏿👩🏿👩🏿 ```Mkiwa kwenye What'sApp group mnachati, utaona kameandika hivi... "JOMONI TUMENI BASI PICHA TUJUANE".``` 😂😂😂😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TAKO Jamani TAKO Acheni Liitwe TAKO, Hivi Umeshawahi Kuumwa TAKO? Umeshapata Ajali Ukaumia TAKO? Vyote Vitaumia Kasoro TAKO. Mwanafunzi Darasani Hapigwi Kichwani Bakora Zote Zinamalizikia Kwenye TAKO Hata Ukiumwa KOO, Sindano Kwenye TAKO. Ukichoka Unakalia TAKO. Kweli TAKO Linavumilia. Nakutakia UVUMILIVU Kama Wa TAKO. Usicheke Hilo Ndio TAKO Na Hapo Umekalia TAKO. Hebu SIMAMA Kidogo Ili Ulifariji TAKO. Ukitaka kujua umuhimu wa tako kalia kichwa.😂😂😂😂
 
Hivi hii tamaduni ya kunusa mkono baada ya kunawa nnya kusikilizia harufu tumeitoa wapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Narudi nyumbani kutoka kwenye pilika zangu za kutwa nimepitia sokoni na kununua parachichi kwa ajili ya kulia na ubwabwa mchana. Kufika home nikaliweka na kwenda kuoga, natoka kuoga ili nile chakula, nakuta mke wangu kaliponda parachichi langu na kujipaka kwenye nywele[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Wanawake Mungu anawaona![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Fikiria unatembea ucku pekee yako[emoji31]unamuona mtu yupo mbele yako anatembea unaamua umkimbilie ili muongozane sababu mitaa ile inatisha sana[emoji17]* unamfikia mnaongozana unackia anakwambia "hapa ndo ile sehemu niliyouwawa ga"[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Namuulia tena hapo hapo...[emoji37][emoji851]

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Bonge la steaming,hapo angeongeza asali na kiini cha yai la kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Narudi nyumbani kutoka kwenye pilika zangu za kutwa nimepitia sokoni na kununua parachichi kwa ajili ya kulia na ubwabwa mchana. Kufika home nikaliweka na kwenda kuoga, natoka kuoga ili nile chakula, nakuta mke wangu kaliponda parachichi langu na kujipaka kwenye nywele[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Wanawake Mungu anawaona![emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Back
Top Bottom