Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

1566496237637.jpeg
 
Kuna watu walikuwa wanaandika miaka tofauti na ile waliozaliwa unakuta mtu kazaliwa 1978 anaandika amezaliwa 1992 ili akija kuajiriwa adumu kazini asiwahi kustafu cha ajabu wamesoma lakini hadi sahivi hawajaajiriwa.
 
Gud
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu

Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni kwa wenye zaidi tuburudike pamoja

Leo kidogo nipigwe na mwanamke baada ya lifti kusimama,wakati tupo kwenye lifti Nilikua nayaangalia maziwa yake akasema "Bonyeza Moja" mimi si nikalibonyeza yaani hadi sasa bado najiuuliza nilipokosea ?

Hivi utajisikieje utakaposikia rafiki yako wa karibu hajaja kwenye mazishi yako ?Nadhani mimi sitamwongelesha tena !
nafikiri nakaribia kupona

Nimenunua chips ili nile kwa bahati mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa karibu na mimi akaanza kuzililia.imebidi nivae earphones,napenda watoto, ila utoto ndio sipendi..

Jana nimepita njia ya mkato makaburini, warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka eti tunaogopa kupita peke yetu na mm nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa..
 
Kwa wale wahenga wenzangu mnaokumbuka ile miondoko ya Sakayonsa [emoji16][emoji16][emoji16] Ndio nimetoka kuicheza hapa bada ya kujibana nyeti zangu na Zipo/zipu ya Jinzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Ni vyema sana kwa ucheshi maana huchangamsha akili na kumuweka mtu hulu..lakini cha ajabu kila baada ya sms mbili kushuka chino unakutana na ucheshi wenye maudhui ya matusi.sisi waTanzania sijui tuna tatizo gani
 
Ni vyema sana kwa ucheshi maana huchangamsha akili na kumuweka mtu hulu..lakini cha ajabu kila baada ya sms mbili kushuka chino unakutana na ucheshi wenye maudhui ya matusi.sisi waTanzania sijui tuna tatizo gani
Tunapenda sana nyuchi, keshokutwa idadi yetu itakuwa 57,000,000 [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Back
Top Bottom