Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Jeshini bana! Eti afande anakwita jina we ni kuitika neno afande, hata ukiulizwa jina unatakiwa utaje jina lako kisha umalizie na neno afande! Sasa kuna dogo (askari) anaitwa Mboya kalizua huko [emoji38][emoji38][emoji38]
Afande: We askari unaitwa nani?
Askari (dogo): Naitwa Mboya
Afande: Unaitwa nani? (kwa ukali)
Askari (dogo): Naitwa Mbooya Mboo ya Afande!
Afande: Huna adabu!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"