Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Juzi katika pita pita zangu barabarani ghafla mvua ikaanza kunyesha, na nilikuwa karibu na meza alipo mdada anaeuza maparachichi. Bahati mbaya sikuweza kukimbia kutafuta sehemu kujikinga mvua ikabidi nimwombe yule mdada:
Careem: Samahani dada naomba niingize walau kichwa tu!
Mdada: We mkaka ukome, tusivunjiane heshima!
Sasa hapo jamani kosa langu lipi? Wakati mimi nilimwomba walau niingize kichwa tu kwenye mwamvuli wake?! [emoji24][emoji24][emoji24]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Wale ambao hamkunialika PASAKA[emoji38][emoji38]Niliwaambia EID itafika [emoji38][emoji38][emoji38]mimi si mchoyo karibuni home tule EID...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
12 Apr 2020
14:12
Hadi muda huu sijapata mwaliko, ila tutaona tu EID haiko mbali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
[emoji115][emoji115][emoji115]Nakumbuka mlininyima PASAKA [emoji38][emoji38][emoji38]Namimi leo nimewanyima EID [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Hahahaha
IMG-20200607-WA0037.jpeg
 
Mwalimu mgeni aliingia darasani kwa
mara ya kwanza na kuchora moyo
ubaoni. Kwa vile hakuwa mchoraji
mzuri ule moyo ukaonekana ovyo
tu.Kwa kujiamini akauliza wanafunzi
nimechora nini?
Mwanafunzi 1.... matako
Mwanafunzi 2..... umechora matako
mwalimu.
mwanafunzi 3. hayo ni matakoo kabisa
Mwalimu kwa hasira akaenda kumuita
mkuu wa shule kwa madai ya
wanafunzi kufanya mzaha darasani.
Mkuu Wa Shule; kwa nini mnamfanyia
mwalimu mzaha?
Wanafunzi; hatujafanya mzaha.
Mkuu wa Shule: Kama hamfanyi mzaha
nani kachora matakoo ubaoni?
 
Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et "NILIOTEMBEA NAO WOTE[emoji39]MKAP😂😂😂😂🏃IME[emoji19]"[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harusi sijui lini anapenda kushtukiza sana[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom