Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Mnawaombea msamaha kwa nani?
 
Yusuphu anauzwa na ndugu zake misri baadae anakuja kuwa kiongozi mkubwa na kukatokea njaa israel anakuja kuokoa taiga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Upumbavu. Na kupoteza muda hakuna wa kumwombea msamaha aliyekufa. Hakuna. Dini gani hiyo na kwa maandiko yapi?
Sisi tulio hai ndio tunamwombea sio yeye aliyekufa.Aliyekufa mambo yake yoote yamefungwa kazi imebaki kwa Mungu
 
Hayo ni ya Mungu wa waisiraeli je ya Mungu wa waafrika ni hayo hayo?
 
Matendo Makuu ya Mungu.

Ndugu ake akina Yuda na Lawi wakimwita yule dogo mwenye ndoto za kipuuza kaja๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kumbe anaandaliwa kulisave taifa, nilikuwa namsikia steve harvey akisema in every moment of adversity there's opportunity and lesson kipindi ana host miss world kama sijakosea alipokosea kumtaja mshindi akataja wa mexico๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hivyo vyote sio vigezo vya mtu kuwa Rais ndugu yangu ingekuwa hivyo Samia asingekuwa Rais Leo ni kadri ya MWENYEZI MUNGU anavyopenda
Wapi nimesema hivyo ni vigezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ