Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.

Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge kudharauliwa wanazidi kustawi.

Mfano
1. Daniel alitupwa kwenye shimo la simba wakamuonea huruma sana wakijua hakuna namna anaweza kupoma lakini at the end hakudhurika baadae akawa mkuu wa serikali ya Umedi na Uajemi.

2. Daudi alikoswa koswa mikuki ya Mfalme Sauli na baadae akatawazwa kuwa Mfalme wa Dola ya Israeli

3. Mfalme Ithibosheti anafariki akiwa Mfalme aliyetawala kipindi kifupi kuliko woote ili kupisha njia kwa Daudi kuwa mfalme

4. Yehoyakimu anateuliwa kuwa Mfalme wa Yudea baada ya Yosia kuuawa vitani na Farao Neko kule Megido.

5. Kwamba, Yeroboam anatoroka na kukimbilia Misri ili asiuawe lakini aliporudi baada ya Kifo cha Suleiman(mhasimu wake) anapakwa mafuta na Kuwa Mfalme wa Samaria.

Haya maandiko Matakatifu hayawezi kwenda bure. Labda kama Mungu tunayemwamini si huyu wa Israeli.

Mungu anapotaka kuleta Ukombozi kwa watu wake anahakikisha hakuna Mchanganyo wa Mbengu. Anahakikisha kizazi kilichochafua Zabibu zake hakihusiki kwenye Ukombozi.

Nawatakia Msiba Mwema tuwaombea msamaha waliotangulia woote.

Mungu analete Ukombozi.
Mnawaombea msamaha kwa nani?
 
Yusuphu anauzwa na ndugu zake misri baadae anakuja kuwa kiongozi mkubwa na kukatokea njaa israel anakuja kuokoa taiga😂😂😂
 
Upumbavu. Na kupoteza muda hakuna wa kumwombea msamaha aliyekufa. Hakuna. Dini gani hiyo na kwa maandiko yapi?
Sisi tulio hai ndio tunamwombea sio yeye aliyekufa.Aliyekufa mambo yake yoote yamefungwa kazi imebaki kwa Mungu
 
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.

Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge kudharauliwa wanazidi kustawi.

Mfano
1. Daniel alitupwa kwenye shimo la simba wakamuonea huruma sana wakijua hakuna namna anaweza kupoma lakini at the end hakudhurika baadae akawa mkuu wa serikali ya Umedi na Uajemi.

2. Daudi alikoswa koswa mikuki ya Mfalme Sauli na baadae akatawazwa kuwa Mfalme wa Dola ya Israeli

3. Mfalme Ithibosheti anafariki akiwa Mfalme aliyetawala kipindi kifupi kuliko woote ili kupisha njia kwa Daudi kuwa mfalme

4. Yehoyakimu anateuliwa kuwa Mfalme wa Yudea baada ya Yosia kuuawa vitani na Farao Neko kule Megido.

5. Kwamba, Yeroboam anatoroka na kukimbilia Misri ili asiuawe lakini aliporudi baada ya Kifo cha Suleiman(mhasimu wake) anapakwa mafuta na Kuwa Mfalme wa Samaria.

Haya maandiko Matakatifu hayawezi kwenda bure. Labda kama Mungu tunayemwamini si huyu wa Israeli.

Mungu anapotaka kuleta Ukombozi kwa watu wake anahakikisha hakuna Mchanganyo wa Mbengu. Anahakikisha kizazi kilichochafua Zabibu zake hakihusiki kwenye Ukombozi.

Nawatakia Msiba Mwema tuwaombea msamaha waliotangulia woote.

Mungu analete Ukombozi.
Hayo ni ya Mungu wa waisiraeli je ya Mungu wa waafrika ni hayo hayo?
 
Matendo Makuu ya Mungu.

Ndugu ake akina Yuda na Lawi wakimwita yule dogo mwenye ndoto za kipuuza kaja😅😅
Kumbe anaandaliwa kulisave taifa, nilikuwa namsikia steve harvey akisema in every moment of adversity there's opportunity and lesson kipindi ana host miss world kama sijakosea alipokosea kumtaja mshindi akataja wa mexico😂😂
 
hivyo vyote sio vigezo vya mtu kuwa Rais ndugu yangu ingekuwa hivyo Samia asingekuwa Rais Leo ni kadri ya MWENYEZI MUNGU anavyopenda
Wapi nimesema hivyo ni vigezo?
 
Back
Top Bottom