Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

Wewe ndiye huwapima watu kuweza kuwatambua vichaa?

Isije ikawa ni wewe uliye kichaa, na yale unayoambiwa na watu huko mitaani, ndiyo nawe unayatamka dhidi ya wengine.

Jitahidi ufike hospitali mapema.
😅😅😅umemjibu vizuri
 
Musiba hachomoki......hatuangaliiii.Stay tuned
 
Kwann mtu anayekupinga unamuona hayuko sawa afu mtu anayekubaliana na ww unamuona yuko sawa.?
 
Unajifariji....labda kuwe na tume huru ya uchaguzi...KATIBA MPYA...kizaliwe kizazi Kingine....mwanasheria mkuu ni mwanachama wa CCM....mwenyekiti wa uchaguzi mkuu ni mwanachama kindaki ndaki wa CCM i.e JECHA,

Tume ya uchaguzi imejaa ma kada watiifu unadhani Kuna wa kupindua meza labda mama samiaa mwenyewe aamue.......
 
Nabii Daudi alikuwa Mfalme wakati ambao Sauli alikuwa Rais na Mkuu wa majeshi Yoabu ambaye alisimia mifumo yote ya Nchi alikuwa upande wa Sauli.

Mungu akiwa upande wako hakuna lisilowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…