ndiyo atueleze sasa...hata nabii Mussa alipewa uwezo wa kuongea na Mungu haikutosha akataka amuone Mungu live,ombi lake lilikubaliwa lakini kilichomtokea kabla ya kumuona Mungu ile nuru yake tu hakutamani tena kutaka kumuonaUnataka ajifunue ubongo alafu afe au unamanisha akili gani
Mungu Ni energy never created no destroyed, tatzo din zmetufunga ili tuwe wapumbavu et Mungu yupo mbinguni kwenye kiti Cha enzi , dah Mungu hayupo limited hivyo ndo maana akili ya kawaida inakataa maswal ya dini uongo mwingi unapoteza ukwel, Mungu Ni energy , ambayo pia inaoperate ndan yakoMnaanzaga na logic lakini mkiulizwa logic mnaleta porojo.
Huyo muhusika nikikukuuliza kaundwa na nani utajibu Mungu, na nikikuuliza huyo Mungu kaundwa na nani.. utaniletea ngonjera za biblia sijui Quran.
Kabla ya wazungu, mababu zetu waliabudu, wapo walioabudu Miti, jua, bahari n.k.Hivi wewe mkuu kungekuwa na mungu au kuna kwenda mbinguni unadhani wazungu wangegawa biblia bure au waarabu wangegawa hizo qurani bure au unadhani wanakupenda sana. Kwanini wasitafsiri vitabu vya kemia bailogia na jiographia wao wakakutafsiria biblia mpaka ya kabila lako? Hukiulizi ni mchezo huo wa kukutawala fikra zako. Wewe ndio umesoma alafu hukaelimika mzungu akupe kitu bure toka lini au mwarabu