Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.

Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe.

Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana kwa style nyingi sana si lazima akusaliti kwa njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.

Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong

1644298537076.png

 
Thank God, I knew this when was still a teenager.
Ukweli mchungu,mtu mnakutana mmeisha kuwa watu wazima,hujui kalelewa wapi,alifundishwa nini,harafu unajifanya kuamini kwa kila kitu!!that is insane!inabidi upimwe kichwa.
Ndgu yangu SEMA tu na uteme mate chini
 
Amekutendea kipi? MKUU.. mahusiano ni mchezo wa hatari sana
 
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.

Nianze na ukweli huu. Ndg zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usijeukaamini hUyo ni muaminifu. Kamwe.

Wanawake na wanaume tunapitia wkt mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu.

Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana Kwa style nyingi Sana si lazima akusaliti Kw njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.

Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong
Hizo ni assumptions. Kuandika statements bila kutoa Ushuhuda si sahihi unless unatoa assigment as if sie ni Wanafunzi wako
 
Back
Top Bottom