Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Kama hakuna anayefahamu ila wewe basi ni siri yako ila kama kuna mtu mwingine nae anafahamu..........hapo hebu niambie hiyo itakuwa bado ni siri yako? au siri yako itakuwa imemfichukia mtu mmoja?
Nauliza kama mwenza wangu anafahamu kuhusu mm kulowesha kitanda na kukoroma. Kwahiyo hapo Siri haitakuwepo?
 
Ndgu nilidhani utafanya ni diverge content niliyoipost lakin kumbe wewe ndio umekuwa general.

Kwa mfano mm issues yangu inahusiana na social relationship tuuu Wala sio sex, Wala sio Uchumi Kwa sabb wawili hao wanajimudu Ile ki-ordinary life.
Wala hata sikuwaza sex kama ulinielewa nilikuliza ume categories upande upi economics or personal issues any way binafsi mtu akiniambia siri outomatic nawaza mafanikio .... huwa namini mafanikio ni siri au siri ni mafanikio ...
 
Back
Top Bottom