Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ndio uweke picha ya katibu mwenezi wa ccm na mkewe kama reference
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kwenye ndoa ngapi?Leo ni siku. Salam wanajamhuri.
Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe.
Pole na mkasa uliokukuta,,,Leo ni siku. Salam wanajamhuri.
Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. [emoji3064] Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe.
Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana kwa style nyingi sana si lazima akusaliti kwa njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.
Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong
Kila mtu ana Siri yake Moyoni mwakeInategemea na siri yenyewe, kuna mambo mengine huwezi kumwambia yeyote hata awe nani, na hayo kwangu ndio siri sasa.
Ni kweli, kitu pekee ambacho ni siri ni kile kiko moyoni mwa mtu mhusika, kama mhusika ameenda kukisema asitegemee kiwe siri tena. Kama umeshindwa kukitunza kitu chako moyoni kwanini unataka mwingine akitunze?Inategemea na siri yenyewe, kuna mambo mengine huwezi kumwambia yeyote hata awe nani, na hayo kwangu ndio siri sasa.
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.
Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee.
Acheni kutupa pressure...Leo ni siku. Salam wanajamhuri.
Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe.
Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana kwa style nyingi sana si lazima akusaliti kwa njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.
Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong
Kabisa, hakuna siri ya wawili, siri ni ya mtu mmoja na pale unapoamua kumwambia mwingine basi hapo umeamua kumfichulia siri yako na sio kusema eti umempa siri yako akutuzie, hakuna kitu kama hicho.Ni kweli, kitu pekee ambacho ni siri ni kile kiko moyoni mwa mtu mhusika, kama mhusika ameenda kukisema asitegemee kiwe siri tena. Kama umeshindwa kukitunza kitu chako moyoni kwanini unataka mwingine akitunze?
principle yangu ni moja tu, kitu chochote ninachoweza kushare na mtu nina uhakika kabisa hakiniumizi na mwingine hawezi kukitumia kuniumiza.
Siri gani tena we mama, mbona unaniogopesha😂Kuna siri ni za kwenda nazo kaburini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babe habari za jioni?Siri gani tena we mama, mbona unaniogopesha[emoji23]
Mimi sina ishu nae hata akinisaliti ila ishu ni akinisaliti na nikajua.Leo ni siku. Salam wanajamhuri.