Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Kama unadhani mkeo au mumeo ndiye msiri wako, unajidanganya!

Mtoa uzi samahani umeongea too openly pia as if upo na harka sana eb nisaidei jambo moja .... hiyo siri unayo zungumzia ipo katika category ipi economycal au just personal issues

Mfano mimi na mwenza ngu hakuna cha siri hapo kwa upande wangu nina chakupoteza kweli?
 
Ndgu nilidhani utafanya ni diverge content niliyoipost lakin kumbe wewe ndio umekuwa general.

Kwa mfano mm issues yangu inahusiana na social relationship tuuu Wala sio sex, Wala sio Uchumi Kwa sabb wawili hao wanajimudu Ile ki-ordinary life.
 
Siri yako kaa nayo mwenyewe niliitunza siri kwa miaka 11 ila nikaamua kui reveal tu kwa mtu wangu.

Alipata mshtuko na kukasirika sana at the same time but it was high time ilitakiwa ajue😅 haikuwa rahisi ila i had to man the f up!
 
Leo ni siku. Salam wanajamhuri.

Nianze na ukweli huu. Ndugu zangu waaminifu ni wazazi wetu pekee. Leo hii mnaolala chumba kimoja wakati mwingine kitanda kimoja. 🥺 Usije ukaamini huyo ni muaminifu. Kamwe.

Wanawake na wanaume tunapitia wakati mgumu Sana. Ndoa zetu zimejaa udanganyifu. Unaweza ukadhani hakusaliti loh! Anakusaliti ni suala la Muda tu utajua. Watu tunasalitiana kwa style nyingi sana si lazima akusaliti kwa njia ya kutembea na mwingine mwenzi wako anaweza akakuzunguka na usijue.

Kama tunadhani wenzi wetu ni wasiri wetu, we are very wrong

Kuaminiana ni kitu kizuri ila kwa wabongo uaminifu its something that you will be highly dissapointed with. Hamna mtu muaminifu aisee, kumpata ni mmoja katika watu 1,000.

Kuwa na mpenzi kibongo bongo ni kama time-bomb tu kwangu naona its worthless kuwa muaminifu. Sikuwa hivi mwanzoni ila ndio namna maisha yanataka tuwe na naishi so freely no pains no more. Don’t stress yourself just let her be na wewe fanya yako kama mtaheshimiana its okay zaidi ila usiweke akilini kuwa mpenzi wako ni wako peke yako.

Utakuja kupata kichaa siku ukishika simu yake ghafla tu.
 
My dear hapa wewe umesha base kwenye sex.

Kimapenzi unaweza ukaamua aseme asiseme, potelea Kwa mbali...kama nimeamua mwanaume huyu nitoke naye au mke wa mtu huyu. Itakuwa a fuc.k and go.

Lkn don't expect your wife or husband akawa hata siri zenu za ndani akaacha kuzitia nje...atatoa tu......mme wa mtu alinipenda sana...akaanza kusemanmambo yake ya ndani.....

Na mm Nika kutegemea nikamwambia ya ngu ya ndani..kiukweli wangu hakuwa na msheded/uchi....kama huyu husband wife was MTU... He/she is loving push and tight
 
My dear hapa wewe umesha base kwenye sex.

Kimapenzi unaweza ukaamua aseme asiseme, potelea Kwa mbali...kama nimeamua mwanaume huyu nitoke naye au mke wa mtu huyu. Itakuwa a fuc.k and go
Huo ni uhusiano kwa ujumla mtu wangu! Kwani huo uaminifu unaoongelea wewe ni wa kupeleka hela za kikoba ama?
 
Trust is Must in the house [emoji536]
 
Mfano mm nakojoa kitandani na nakoroma usiku kama kondoo. Hiyo ni Siri ama siyo?
Kama hakuna anayefahamu ila wewe basi ni siri yako ila kama kuna mtu mwingine nae anafahamu..........hapo hebu niambie hiyo itakuwa bado ni siri yako? au siri yako itakuwa imemfichukia mtu mmoja?
 
Back
Top Bottom